Godbless Lema ndio mpinzani wa kweli Tanzania.Sio huu unafiki mwingine

Ningefurahi zaidi kama kipaumbele kitatuangukia wa R-Chuga tutoe maoni yetu....Pamoja mzee
 
Huyu dogo sidhani kama atatoboa 2020. Nadhani hayuko TZ ndiyo maana anasifia asiyo ishi. Na ni kweli kabisa huu ni 100% unafiki Au Arumeru kuna feva wanazopata sisi hatuzipati?
 
Lema ana elements za Raila Odinga!ila tatizo ni moja:Mbowe atakubali kumpisha Lema?
 
Nassari anatoa maoni yake kwa kuipongeza serikali mnamkosoa, hivi nyie bavicha nchi haijengwi hivyo, mnaona lema kutokana Na tabia zake amekua mbunge WA kisongo Na maandamano,
 
Bandugu kutukana, kuwa mbishi, kudanganya Na uzushi sio sifa ya upinzani wa kweli. Mnamdanganya Lema ataishia pabaya. Mbona nyie hamjitokezi kwa majina halisi hapa jukwaani tukaona upinzani wenu wa kweli.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom