Godbless Lema ndio mpinzani wa kweli Tanzania.Sio huu unafiki mwingine

Bandugu kutukana, kuwa mbishi, kudanganya Na uzushi sio sifa ya upinzani wa kweli. Mnamdanganya Lema ataishia pabaya. Mbona nyie hamjitokezi kwa majina halisi hapa jukwaani tukaona upinzani wenu wa kweli.
kwa ukweli unaosemwa hapa hata usipoona jina kitu kinaingia mahali pake. Wanaotumia majina yao si ndio hao mnawatenda.
 
Mie nahisi mpinzani wa kweli ni Dr.Wilbroad Slaa, maana hakutaka kuyumbishwa na wenye pesa, na unaona Slaa kukaa kimya wapinzania hakuna kitu ila yule mzee hata kama polisi wangesema hakuna maandamano yeye angeandamana tuu!!! Hawa wengine akina Lipumba ni waroho wa madaraka, hivi unajiuliza kama uenyekiti wa chama mtu hataki kuuachia, akipewa nchi si ndo atataka atawale milele?. Kwa hizi siasa zetu its much better to be neutral
 
Bandugu kutukana, kuwa mbishi, kudanganya Na uzushi sio sifa ya upinzani wa kweli. Mnamdanganya Lema ataishia pabaya. Mbona nyie hamjitokezi kwa majina halisi hapa jukwaani tukaona upinzani wenu wa kweli.
Umeona eeeh!?
 
Lema wa 2017 atakuwa mpoleeee... Siku hizi akirudishwa rumande hana madoido kama mwanzoni....au nyie hamjui kusoma body language.
 
Ukipigwa scholarship.. Na visemina vya ulaya kibao kwa tiketi ya mwakilishi wa wapinzani..wengi hizo offer upinzani wana lainika nikama..angalia zzk..baadae ni usaliti..ili uendelee kupewa mkate na kuku zakutosha
Lema ni kama Mandela..au kama Martin Luther jr
 
Watu wa kutoka Kgm hawaaminiki hata kdg.
 
Godbless Jonathan Lema nakumbali sana ni mmojawapo wabunge makini sana wanapenda kusimamia wanachokiamini.
 
Uliza maswali yenye kichwa

Nadhani hapa JF ni Jukwa huru NA kila mtu anastahili kutoa maoni yake Kistaarabu, sioni sababu ya kukebehiana.

Mimi maoni yangu Lema si mwanasiasa makini Lakini hastahili mateso, kama ana kesi asimamishwe mahakamani . Sio kumueka Rumande bila ya mdhamana.
 
Back
Top Bottom