Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Godbless Lema mbunge wa Jiji la Arusha amjibu mkuu WA Mkoa wa Arusha na kuikumbusha serikali wajibu kwa watanzani wanachoitaji
Kama ile scandal yako yakutembea na mume wa mtuHivyi vyama vyote vinawatesa wana Arusha, hata Lema anatumia kick za kisiasa. Nasi pia tuwe NA akili sio kila kitu tunacholishwa NA hawa wanasiasa tunakimeza tuu., Magufuli ama serekali hawana Shida za hizo pesa, NA wanajua kuwa chadema wanazifuatilia, they will never risk the possibility of giving CDM a chance to get a leverage. Tungoje Gambo atakuja NA maelezo kamili.
Lema amekimbilia kutoa habari kwanza ili apate sifa ya kuwa wakwanza kuvumbua eti scandal.
Episode 1 ni yake NA CDNA tungoje episode 2 ya Gambo na CCM
Dawa ni kuwapa hela zao zote wafiwa , any porojo ni kupoteza muda tu .Hivyi vyama vyote vinawatesa wana Arusha, hata Lema anatumia kick za kisiasa. Nasi pia tuwe NA akili sio kila kitu tunacholishwa NA hawa wanasiasa tunakimeza tuu., Magufuli ama serekali hawana Shida za hizo pesa, NA wanajua kuwa chadema wanazifuatilia, they will never risk the possibility of giving CDM a chance to get a leverage. Tungoje Gambo atakuja NA maelezo kamili.
Lema amekimbilia kutoa habari kwanza ili apate sifa ya kuwa wakwanza kuvumbua eti scandal.
Episode 1 ni yake NA CDNA tungoje episode 2 ya Gambo na CCM
Video mbona kama imepigwa pini?!
Cc: @ModsMbona hiyo video haifunguki?