Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Hii ndio tweet ya Lema:
Ktka uchaguzi wa marudio kuna ukiukwaji mkubwa wa sheria kuna maeneo hakimu amegoma kupiga mihuri fomu za wagombea wa Chadema, Iringa mgombea alitekwa na kuporwa fomu.Tunduma fomu za wagombea wa Chadema zimetolewa kwa wasio wagombea.Taifa hili linapotea,no sauti gani italiokoa?
My take:
Wapinzani, mnatakiwa kukutana kwa dharura na kuandaa hoja za kisheria za kuitaka mahakama isitishe huu uchaguzi na ikiwezeka muishtaki pia Tume ya Uchaguzi ili na yenyewe iwekewe zuio kuendelea kusimami uchaguzi wowote.
Mimi naaminI wapinzani bado hamjatumia vizuri haki yenu ya kisheria kuipinga Tume ya Uchaguzi na sheria za uchaguzi zinazowafanya mlalamike karibu katika kila uchaguzi.
Kushindwa katika kesi inayohusu sheria ya uchaguzi iliyokuwa ikisimamiwa na wakili Fatm Karumu sidhani kama ndio mwisho wa nyie kutafuta haki zenu mahakamani.
Kama Mahakama huwa zinatoa hukumu kuwa baadhi ya sheria ni mbovu na hazifai,sheri hii ya uchaguzi inayoruhusu wakurugenzi wa Halamshauri ambao ni wateuliwa wa Rais(Mwenyekiti wa chama cha siasa), hamuwezi kweli kuijengea hoja mahakamani kuipinga?
Tume ya uchaguzi ambayo nayo viongozi na watendaji wake nao ni wateule wa Raisi hamuwezI kuijenga hoja mahakamani kuipinga?
Kama haya yanatushinda au hayawezekani, basi sauti pekee ya kutuokoa ni ile slogan fulani mnayoitumiaga.