Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,373
- 217,432
Mbunge wa Arusha Mjini Mh Lema ataanza ziara rasmi ya kuongea na wananchi wa Jimbo lake kuanzia tarehe 2 July , ambapo atapokea na kutatua changamoto mbali mbali zinazowakabili wapiga kura wake .
Ikumbukwe kwamba huyu Kijana Lema ndiye binadamu aliyeifuta ccm jimbo la Arusha Mjini , waliotumwa kupambana naye wengi wameishia kufirisika .