Godbless Lema kuanza ziara ya kikazi Arusha Mjini

Hana jipya huyu mropokajii..
Wananchi tunafanya kazi, mkutano asubirie muda wa uchaguzii..
Wewe una jipya gani ,waambieni policcm waseme taarifa za kiintelijensia zinaonyesha mikutano yakeitakuwa na uvunjifu wa amani izuiliwe upate jipya unalolitaka .
 
Back
Top Bottom