Godbless Lema kuanza ziara ya kikazi Arusha Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
84,367
2,000
Tumewaacha takribani Mwaka mzima wakizunguka kueleza mambo yasiyo wahusu kuhusu .jpg

Mbunge wa Arusha Mjini Mh Lema ataanza ziara rasmi ya kuongea na wananchi wa Jimbo lake kuanzia tarehe 2 July , ambapo atapokea na kutatua changamoto mbali mbali zinazowakabili wapiga kura wake .

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.@godblessjlema1 (Mwamba wa Kaskazini) kuungu.jpg
Ikumbukwe kwamba huyu Kijana Lema ndiye binadamu aliyeifuta ccm jimbo la Arusha Mjini , waliotumwa kupambana naye wengi wameishia kufirisika .
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,875
2,000
Wamruhusu tu, hana mvuto tena kwa wana Arusha

Duuu, huko Arusha watu wanajitambua ile mbaya. Ukifika Arusha hata wazee hakuna wanaoangalia TBCccm. Watu wa Arusha wanapata habari kwenye mitandao ya kijamii kwenye uelewa wa mambo, na sio kupitia vyombo kama, TV, magazeti nk ambavyo vimethibitiwa na jiwe. Simply watu wa Arusha walishaamka zaidi ya miaka 10 iliyopita. Ogopa watu wanaojua maendeleo ni kodi zao na sio hisani ya kiongozi bali haki yao,wakati huko kanda ya ziwa watu bado wanajua maendeleo ni mapenzi ya rais.
 
Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,218
2,000
Tupo pamoja na Lema sisi wana wa Arusha na wapenda Demokrasia ya kweli hatuyumbishwi na ka Jiwe sie.
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,907
2,000
View attachment 1140817

Mbunge wa Arusha Mjini Mh Lema ataanza ziara rasmi ya kuongea na wananchi wa Jimbo lake kuanzia tarehe 2 July , ambapo atapokea na kutatua changamoto mbali mbali zinazowakabili wapiga kura wake .

View attachment 1140824Ikumbukwe kwamba huyu Kijana Lema ndiye binadamu aliyeifuta ccm jimbo la Arusha Mjini , waliotumwa kupambana naye wengi wameishia kufirisika .
Safari ya kuaga wananchi
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,329
2,000
View attachment 1140817

Mbunge wa Arusha Mjini Mh Lema ataanza ziara rasmi ya kuongea na wananchi wa Jimbo lake kuanzia tarehe 2 July , ambapo atapokea na kutatua changamoto mbali mbali zinazowakabili wapiga kura wake .

View attachment 1140824Ikumbukwe kwamba huyu Kijana Lema ndiye binadamu aliyeifuta ccm jimbo la Arusha Mjini , waliotumwa kupambana naye wengi wameishia kufirisika .
Hilo bango lina kibali cha kampuni ya filamu?!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom