Godbless Lema: Kesho nitakuwa na mkutano na Wandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,327
Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Mh.Godblees Lema amesema kupitia mtandao wa twitter kuwa, kwa sasa anaweza kuongea na waandishi wa habari kuhusu kutekwa kwa mfanyabiashara Mo Dewji.

Lema ataongea na waandishi tarehe 16, Oktoba 2018 na atafanya mkutano huo katika Makao Makuu ya CHADEMA
 
jikite kwenye mada .
Haya waziri kivuli
tapatalk_1539534241399.jpeg
 
Sipangiwi kwa kuposti,

Na ukinipangia ndio unaharibu kabisa,

Wewe leta siasa kwenye uhai wa mtu, badala mdili na ishu ya kubenea na komu kutaka kufanya mapinduzi,umekaa kufanya siasa kwenye UHAI wa mo
Tunamtaka Mo akiwa hai na hana jeraha hata moja. La sivyo lazima tutawawajibisha!

Alafu sibishani na mambulula ya lumumba, siwezi kukupa airtime uchukulie kiki kwangu. Nenda kule kwenye uzi wenu wa kupeana likes kachukue umaarufu uchwara kule sio kwangu.
 
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.

Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!


Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.
Waachie chama chao hao wabunge wanaokuja hawatoshi, sasa naanza kuamini ile kasi ya 2015 ilikuwa balaa ukweli wanaujua tume haiwezakani mkawa mnaweweseka namna hii.
 
Back
Top Bottom