Godbless Lema: Kesho nitakuwa na mkutano na Wandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Mh.Godblees Lema amesema kupitia mtandao wa twitter kuwa, kwa sasa anaweza kuongea na waandishi wa habari kuhusu kutekwa kwa mfanyabiashara Mo Dewji.
Tangu alipo lamba viatu vya maMvi hana tena atakalo ongea akaeleweka, Ni kama aliye changanyikiwa , mara akusanye wenzake wakazike mbwa!! Hakuna ambalo ataongea likawa na maana yoyote. Uyu ata apewe airtime na redio/ tv mwaka mzima hawez ongea jambo la maana ni vituko tu.
 
Ni kuongelea mambo ya kivuli yaani giza yaani yasiyo halisi.. Ndio maana ya kivuli.. Yaani anaweza ongea hata jambo lisilo halisi kabisaaa.. Kivuli
Kivuli ni nakala iliyotokana na ukweli.
Lakini pia kivuli ni eneo lenye hewa na upepo mwanana wenye kuleta matumaini ya uhai.....Upo?
 
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.

Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!


Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.

Wewe nawe usipoandika Mbowe au Chadema siku haipiti yaani usikute hata ukiona kofia ya chadema pressure inapanda,fanya kazi dada
 
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.

Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!


Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.
Sasa hii inahusiana nini na huu uzi?
 
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.

Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!


Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.



lumumba mko tayari inchi iwe masikini kulipo jiwe kukosolewa.

kwanini inakuuma chadema kufa?? nilijua utafraia.
 
Kuna mwenzio aliniita dogo, akaja kushangaa natoka chumban kwa mama yake nikiwa na taulo, kumbe ni baba yake mdogo, kuwa na heshima
I think people need to STOP trying to read something into everything and quit making mountains out of mole hills!
 
Humu ndani kuna watu wanatumia ...... kufikiri .
Waziri kivuli anawajibu wa kuzungumzia masuala ya ndani lakini kuna watu wameshaanza kuweweseka. Hivi ni nani kawaroga eeehhh nyie wapiga makofi na waunga mkono?.
Ngoja niimbe wimbo wa utotoni sasa.
Lema Sema,
Sema usiogope sema
Yote sema,
sema usiogope sema
Kama chama,
Chama waweza hama
Kama siasa,
Siasa waweza acha
Sema Lema,
Sema usiogope sema
Sema leo,
Sema usiogope sema
Sema kweli,
Kweli itadumu sema
Sema kweli,
Kweli itabaki kweli
 
Wabongo hatunaga jema hata sijui sisi ni kazazi cha nani maana kama ni cha Ibrahim baba yetu wa imani basi tungekuwa na hekima walau kidogo.

Ukikaa kimya una hofu na muoga wa kisiasa; ukiongea kuhusu CCM ukaisifia hata kwa mambo ya kipuuzi basi unageuka kuwa jasiri na mzalendo numberi one na ukiongea kuikosoa CCM na serikali yake muda huo huo unageuka wewe ni gaidi, mchochezi, unayetaka kuligawa taifa na ni msaka tonge ya kisiasa.

Usichangae baada ya press kutowafurahisha hata kama ina chembe ya ukweli basi anaweza kujikuta mikononi kwa wenye nchi.

Hapa ndipo tulipo kwa sasa !!
 
Hii kweli ndo wanayoiogopa CCM
Ngoja niimbe wimbo wa utotoni sasa.
Lema Sema,
Sema usiogope sema
Yote sema,
sema usiogope sema
Kama chama,
Chama waweza hama
Kama siasa,
Siasa waweza acha
Sema Lema,
Sema usiogope sema
Sema leo,
Sema usiogope sema
Sema kweli,
Kweli itadumu sema
Sema kweli,
Kweli itabaki kweli
 
Back
Top Bottom