Godbless Lema: Jina Langu ni Miongoni mwa Wabunge Wanaotaka Kutekwa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Mbunge wa Arusha Mjini Kupitia Chadema Godbless Lema amesema jina lake ni miongoni mwa wabunge wanaotaka kutekwa aonya watekaji kuwa hawataona kaburi wala maiti yake
 
Attachments

  • VID-20170412-WA0028[1].mp4
    12.4 MB · Views: 27
Wabunge wanaotaka kutekwa! Kwani wanataka wenyewe watekwe?
Sasa hivi ukitaka kujizolea sifa CHADEMA gonga lori barabarani kioo kivunjike sema umetejwa, ita gazeti la Mtanzania au Tanzania Daima kesho utakuwa shujaa wa nchi. Kama ni CUF sema ni njama ya Jamaa Yule.
 
Sasa hivi ukitaka kujizolea sifa CHADEMA gonga lori barabarani kioo kivunjike sema umetejwa, ita gazeti la Mtanzania au Tanzania Daima kesho utakuwa shujaa wa nchi. Kama ni CUF sema ni njama ya Jamaa Yule. Idiots.

Idiots si ndio jina lingine LA RC bashite ama??
 
Mbunge wa Arusha Mjini Kupitia Chadema Godbless Lema amesema jina lake ni miongoni mwa wabunge wanaotaka kutekwa aonya watekaji kuwa hawataona kaburi wala maiti yake
Ni vizuri kumbukumbu ziwekwe vizuri ili wabunge hao wanaotarajiwa kutekwa wakipotezwa tuwaulize CCM na vikundi vyao vya kigaidi (poliCCM na TISSCCM) watuonyeshe walipotupa miili yao tukaizike.
 
Huyu naye anatafuta kiki tu kama msanii, huyu yeye hakuna sababu ya kumteka kwa kuwa anajaa kingi kirahiisi kabisa......kisongo panamtosha kabisa mbona
 
Sasa hivi ukitaka kujizolea sifa CHADEMA gonga lori barabarani kioo kivunjike sema umetejwa, ita gazeti la Mtanzania au Tanzania Daima kesho utakuwa shujaa wa nchi. Kama ni CUF sema ni njama ya Jamaa Yule. Idiots.
Huyo idiots ni nani ambae watamsingizia? Hayo ma idiots ndo yanamkwamisha rais wangu na wapo humo humo ccm na ni wengi sana. Sio Hao wachache wanaopigiwa kelele bali Hao waliokaa kimya. Wanajifanya wapo loyal kwa rais lakini ndo the mole.
 
Kiukweli tiss imepoteza uhalisia na malengo yakuanzishwa kwake badala yake inafanya mambo yahovyo
 
Maslahi ya watu wachache sana inataka kutuvuruga..MUNGU anawaona na atawazuia na mipango yenu.
Nchi hii ni yenye AMANI sana na watu wameilewa hii AMANI,yamkini wana pesa za kukimbia nje pale nchi itakapochafuka ndo mana wamekaa kiuchonganishi.kwa sasa tuna uongozi mzuri wenye kupigania haki sawa kwa wote lakini tena tunaaminishwa mabaya na watu wabaya.

Akili tunazo nyingi za kujua mnachofanya,sema tu hatuna meno ya kuwauma kama kuwadhibiti mkae kimya,hakuna utekaji wala hali mbaya ya usalama.

Watu kuendeshwa na mihemko ya vyama na kutojiongeza kichwani kutaleta athali na athali ikija kwa uwezo wa MUNGU athali hiyo ianzie kwa wote wenye kutudanganya kua nchi yetu haina AMANI

Rais JOHN POMBE MAGUFULI ni kiongozi mzuri kulinganisha na tulichotamani kwa muda mrefu,wanasiasa wanakuja kutulisha tena uongo kwa maslahi yao binafsi.ishini kama tuishivyo sisi.si wanasiasa wala hatutaki kwenda Ikulu wala hatuna pesa za kutosha lakini tunaamini matokeo mazuri baadae.acheni tamaa

Mnakuja kwenye mitandao na ID tofauti tofauti mnajiuliza na kujijibu na kujaribu kuweka gadhabu kwetu wananchi juu ya serikali yetu.tupo wengi tuliowastukia.
 
Hawa Wabunge 11 wajitokeze hadharani ili tuwajue. Sidhani katika hiyo list Rais wa TLS Kamanda Tundu Antipas Lissu jina lake halisi.

Ni vizuri kumbukumbu ziwekwe vizuri ili wabunge hao wanaotarajiwa kutekwa wakipotezwa tuwaulize CCM na vikundi vyao vya kigaidi (poliCCM na TISSCCM) watuonyeshe walipotupa miili yao tukaizike.
 
Mbunge wa Arusha Mjini Kupitia Chadema Godbless Lema amesema jina lake ni miongoni mwa wabunge wanaotaka kutekwa aonya watekaji kuwa hawataona kaburi wala maiti yake
Sasa kama anataka kutekwa si atekwe tu au ajiteke?? Eti jina langu niajina yanayotaka kutekwa!
 
Back
Top Bottom