Godbless Lema hakufurahishwa kabisa na maamuzi ya kamati kuu kutoa msamaha kwa wasaliti.

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,187
42,011
Wasalaam wana JF .
Vyanzo vya ndani ya chadema vinasema Lema ndio amekuwa akitumiwa na kundi la Mbowe kuwawekea mitego wabunge wenzie wanao kinzana na Mbowe kuiongoza chadema bila kikomo.

Swala la Kubenea na Komu lilishajadiliwa sana na ndani ya chadema na Lema amekuwa akishauri wafukuzwe kabla ya wao kuondoka wenyewe...
Mtakumbuka Lema alitumika kuwaondoa mwigamba ,Kitila bila kumsahau Zitto na kwenye hili alikwenda mbele zaidi na kumpiga tofali na kichwa Samsoni Mwigamba..

Hadi kabla ya Kubenea na Komu hawajaitwa ilikuwa inajulikana wazi kabisa na ilikuwa imepangwa wasikilizwe lakini kwa vyovyote vile lazima wafukuzwe kabisa na Lema aliwambia wajumbe kuwasamehe Komu na Kubenea ni kuhalalisha usaliti ndani ya chama na alihoji kama hawa wana samehewa kwanini Zitto alifurushwa kama mwizi?

Baada ya Kubenea na Komu kupewa msamaha baada ya Lema kuzidiwa kura na wajumbe wengine alitoka nje kwa hasira na alisusa hadi kula na hakuwa maeongea na mtu tena kwani yeye aliamini kabisa wasaliti hawa lazima wafukuzwe.....

Bahati mbaya walianza kusambaza habari za kufukuzwa kwa Komu na kubenea kwenye magroup ya chadema kabla hata ya vikao na wengi wamesema hata kama wamesamehewa lakini kamwe hawawezi kufanya kazi na wasaliti hawa.

Mh Lema yeye bado ana amini Kubenea na Komu si wanachadema kabisa maana yeye hapatani na wasaliti.
 
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/116/116264.jpg?1510228052[/IMG]W
  • Thread watched
Uamuzi juu ya Komu na Kubenea, wana-CCM mmekereka na nini? Mlitarajia nini?

Hata kabla ya kuwepo kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kujadili na kuamua juu ya suala la Wabunge Komu wa Moshi Vijijini na Saed Kubenea wa Ubungo, wanachama na wapenzi wa CCM walikuwa ndiyo wafuatiliaji wakubwa wa jambo hilo kuliko hata wana-CHADEMA wenyewe. Wakawa wanayajazia nyama mawazo ya mwana-CHADEMA Yericko Nyerere kuwa Wabunge hao walipaswa kutimuliwa kwa usaliti.

Kila andishi au kauli ya wana-CCM katika mitandao ya kijamii ukiwemo huu wa Jamiiforums lilikuwa na mategemeo ya kuona Komu na Kubenea wakitimuliwa CHADEMA na hivyo kuwapa njia ya labda kuhamia CCM na hivyo chaguzi ndogo kufanyika kwenye Majimbo yao. Kilipokaa kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, waliokuwa 'wakiripoti' au kubashiri matokeo wengi walikuwa ni wanachama na wapenzi wa CCM.

Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kikafanyika. Komu na Kubenea wakahojiwa na maamuzi yakafikiwa. Matatu ndiyo hasa yaliyoamuliwa. Kwanza, Wabunge hao wamepewa onyo kwa suala lao na kutakiwa kuandika barua za kuomba msamaha kwa chama na wahusika wa 'njama' zao. Pili, Wabunge hao wamevuliwa nyadhifa zote ndani ya CHADEMA achilia mbali zile za Ubunge ambazo ni za uwakilishi wa wananchi. Na tatu, Wabunge hao wamewekwa chini ya uangalizi wa kichama.

Tangu kutolewa kwa maamuzi hayo na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, John Mnyika akiwa na Komu na Kubenea, wanachama na wapenzi wa CCM mitandaoni wameonekana kuguswa sana na uamuzi huo. Ni Dhahiri kuwa wamekereka sana kwa uamuzi huo. Kwani wanachama na wapenzi wa CCM walitarajia nini? Kwasasa, wanakuja kivingine. Wanashikia bango suala la jinai kwa akina Komu na Kubenea na 'kuomba' polisi iwashughulikie.

Siasa bhana………...

SIGNATURE
"The constitution has outlived its purpose ... it has outlived its usefulness. Similarly, our const
 
Wasalaam wana JF .
Vyanzo vya ndani ya chadema vinasema Lema ndio amekuwa akitumiwa na kundi la Mbowe kuwawekea mitego wabunge wenzie wanao kinzana na Mbowe kuiongoza chadema bila kikomo.

Swala la Kubenea na Komu lilishajadiliwa sana na ndani ya chadema na Lema amekuwa akishauri wafukuzwe kabla ya wao kuondoka wenyewe...
Mtakumbuka Lema alitumika kuwaondoa mwigamba ,Kitila bila kumsahau Zitto na kwenye hili alikwenda mbele zaidi na kumpiga tofali na kichwa Samsoni Mwigamba..

Hadi kabla ya Kubenea na Komu hawajaitwa ilikuwa inajulikana wazi kabisa na ilikuwa imepangwa wasikilizwe lakini kwa vyovyote vile lazima wafukuzwe kabisa na Lema aliwambia wajumbe kuwasamehe Komu na Kubenea ni kuhalalisha usaliti ndani ya chama na alihoji kama hawa wana samehewa kwanini Zitto alifurushwa kama mwizi?

Baada ya Kubenea na Komu kupewa msamaha baada ya Lema kuzidiwa kura na wajumbe wengine alitoka nje kwa hasira na alisusa hadi kula na hakuwa maeongea na mtu tena kwani yeye aliamini kabisa wasaliti hawa lazima wafukuzwe.....

Bahati mbaya walianza kusambaza habari za kufukuzwa kwa Komu na kubenea kwenye magroup ya chadema kabla hata ya vikao na wengi wamesema hata kama wamesamehewa lakini kamwe hawawezi kufanya kazi na wasaliti hawa.

Mh Lema yeye bado ana amini Kubenea na Komu si wanachadema kabisa maana yeye hapatani na wasaliti.
Hakumtupia Kubenea katofali jana kama alivyofanya kwa Mwigamba?
 
Fukuzafukuza sio busara zama hizi, mpe mtuhumiwa nafasi ya kujirekebisha.
 
Lema ajifunze kusamehe mbona sisi wananchi tumemsamehe wizi wake wa magari na maisha yanasonga
Hata sisi tumesamehe wala rushwa,mafisadi mana wananenepa kwa kuiba hela zetu,kama huyu huwezi jua jinsia yake kama wakike au wakiume shauri ya kushiba rushwa
IMG-20181014-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom