Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Hiki chama hakikosagi Kunungunika na kuaaminisha wafuasi wake kwamba kinaonewa.

Sasa mlitaka shuguli zote zisimame kisa chadema inamkutano? Upuuzi mtupu. Mwagene Sera na sio kutafuta kuonewa huruma na wananchi.
 
Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu.

Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni baba lao Arusha.

Lema amesema haya katika ukurasa wake wa Twitter.

My take: Kwani sehemu anayoenda Lissu ni lazima shughuli zisimame?

Maendeleo hayana vyama!
Hawa CHADEMA vipi? Mbona siwaelewi elewi! Hizo shughuli za mechi ya mpira na tamasha naamini vilipangwa siku nyingi, imekuwa kama COINCIDENCE tu, labda ukipenda kwa akina Lema, NI BAD COINCIDENCE. Wape watu uhuru wa kuchagua atakaye mpira AENDE, atakaye tamasha AENDE na atakaye kampeni za Lissu AENDE period.
 
Nikweli Serikali inawahujumu, kila, mwenye akili anafaham. johnthebaptist naomba unipitie ilani ya maCCM niisome.

ivi kwann wana cdm mnapenda kutumia sympathy kama kichochea cha harakati zenu, nmesoma kwenye quotation yako kuhusu akwilina, ni kama point zenu zote zmebase na sympathy ya chochote kitakachotokea, because death is un-escapable and hata wewe u will die tu, so sielewi point yako ya akwilina inahusiana vp na maendelo ya mbele ya nchi
 
Back
Top Bottom