Uchaguzi 2020 Godbless Lema anatakiwa kupongezwa kwa kumkaribisha mgombea wa CCM apige kampeni kwenye jukwaa la CHADEMA

Uko arusha mkuu?.karibu nyama ya tembo huku njiro,Gambo hata asikiki huku kwetu..

Asante sana kwa ukaribisho, kuna watu wengi tu huko maporini hawawajui wanasiasa wanaogombea ila ikifika wakati wa kupiga kura wanangaalia chama cha baba wa Taifa kisha wanaweka TIKI 😀
 
Mrisho Gambo katokea kukubalika sana ARUSHA, katumia fimbo ya uRC kukijenga chama, kudhoofisha upinzani, kusimamia maendeleo ipasavyo ya ARUSHA, kutatua kero mbalimbali za wanaArusha ikiwemo kutoa mikopo kwa wakina mamá na vijana kupitia makusanyo ya Halmashauri ya jiji

Lema amekwishajiandaa kisaikolojia kuachia jimbo maana kambi yake haswa ikiundwa na madiwani na wenyeviti Serikali za mtaa imedhoofishwa vilivyo baada ya wengi wao kuhamia CCM katika lile vuguvugu la kuunga mkono juhudi za Mh Rais na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi

Kiukweli Gambo kateka hisia za watu, na atachukua jimbo vizuri kabisa,, kijana alijiandaa na amepikika
hahah Gambo alitumia URC wake kutengeneza maadui kuanzia watumishi wote wa almashauri hadi wananchi wa kawaida.
Last 2 weeks mkuu wa mkoa wa sasa aliwapiga kikao watumishi wa Arusha na kuwaomba wasimsusie Gambo maana tayari dalili za kumkazia zimeonekana.
Inshort Gambo amekua na bahati mbaya kila anpogusa panakua negative kwake.
Gambo anadondoka asubuhi sana kabla hata ibada ya kwanza haijaisha.
 
Lema Arusha hana chake tena, amebaki kushabikiwa na kikundi cha wachaga wenzake, wanawake wote arusha wanamsapoti mrisho gambo aliewapa mikopo.
Kama vile Magufuli anavyoshabikiwa na kikundi cha Wasukuma wa Chato siyo?
 
Heshima anayopata Lema akiwa chadema leo ni matokeo ya msimamo alioongozwa na Mh. freeman mbowe mwaka 2010 alipotaka kuuza jimbo la Arusha(wakati akigomea na yule mama simkumbuki jina) Lowassa na CCM kiujumla walimrubuni kumpatia nyumba ya kifahari njiro na pesa nyingi(b) lakini mbowe alitua fasta na helicopter kutokea hai.

Huku ofisi zikiwa zimezingirwa na wananchi wanaoshinikizwa Lema atangazwe kijana akiwa anatetemeka, mbowe akamwambi "angalia kesho yako, maamuzi yako mikononi mwako, chuku hiyo offer, mimi sitakuwa na la kuwaambia hao watu hapo nje, na ikiwezekana, nitasema ukweli" kijana akawaza.

Kisha akaikataa offer ile hatimae akatangazwa watu waliofurika wakarindima kwa shangwe huku lowasa na wapambe wake wakitoka vichwa chini hadi leo hii heshima yake ipo pale pale toka kwa wana Arusha.
Hili tukio nililishuhudia LIVE. Ila Lowasa ni shida aisee.
 
mama alisemekana kaolewa zenjibar hahaaaaa chuga one mpooooooooo
 
Naikumbuka sana hii. Wananchi waliokuwa nje walimwambia akatae offer atangazwe au akubali offer asitangazwe na Arusha ahame kabisa.
 
2015 kuna fala mmoja pale Songea mjini alishinda kwa Kimbunga halafu akauza ushindi matokeo yakapinduliwa.

Yule fala chama kilimfukuza uanachama akahamia Mbogamboga kwenye siasa kapotea sijui bado anayo ile hela aliyohongwa.

Una maanisha Wakili Edson Mbogoro?
 
Back
Top Bottom