Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,152
Kuna Clip imetrend ikimuonesha mgombea wa chama cha CHADEMA akimkaribisha bwana Msofe mgombea wa udiwani kwa tiketi ya CCM apige kampeni katika kikao cha ndani cha chama.
Kama taifa inatakiwa tuwe katika hali hyo na anapaswa sana kupongezwa.
Nchi hii ni yetu sote anapaswa kupongezwa maana siasa sio uadui kama wengine wa CCM wanavyochukulia. Lema ni Mwanasiasa wa kuigwa jaribu kujenga picha ndio mgombea wa Chadema kaomba kupanda jukwaa la CCM ni nini kingetokea.