Huyu bwana anayoyaongea ni kama vile yanatokea kuwa kweli. Aliongea kuhusu Mwendazake na kweli ikawa hivyo ingawa muda aliousema haukuwa ule
Kuna recorded audio call kati yake na Ole Sabaya na akamuonya kwamba Mwendazake sio Sir God na kweli ikawa na tayari Sabaya yupo kwenye uchunguzi ambao ni so detailed.
Kwa namna hiyo nimekuwa nikijiuliza je huyu Bwana anatumia maono ya KiMungu kuyaona hayo au ni Mpiga Ramli tu wa kawaida? Na je namna alivyojaribu kumshauri Spika na kumtaka abadilike na iwapo Spika hatabadilika kwa viwango vyake Lema huko baadaye itakuwaje?
Ninawaza kwa sauti tu!
N.B Halafu Moderator why unahamishia uzi wangu kwenye habari Mchanganyiko wakati inaongelea mambo ya siasa? Acha hizo basi bro hebu irudishe kule Jukwa la Siasa Mkubwa! Sometimes mambo yenu sio poa kabisa yaaaaani (kwa lafudhi ya Mchungaji Magembe)