Lema kachemkaHao wanaccm ndio raia wenyewe ?
Chama kina gazeti - Tanzania Daima, kina online TV, na Kubenea na Komu wana gazeti pia, nina uhakika hivyo vyombo vya habari vingetosha kututangazia yale ambayo wengine hawayatangazi.
Recently kila chombo cha habari kimeshikwa pabaya na serikali, hivyo MillardAyo kama mwanahabari na mtu ambaye maisha yake anayaendesha kutokana na utoaji wake wa habari, lazima achuje taarifa ili kutoripot mambo yatakayomtia matatizoni dhidi ya Serikali.
Tz daima si imeondoka na Komu? Au?
Asante mkuu, inawezekanaSina uhakika, ila yale magazeti ya Kubenea Komu alikuwa na share pia.
Haujai kisodaKudhani unanijua wakati hunijui ni ujinga! Kumbuka ujinga sio tusi!
Kusema ubongo wangu hauna kisoda ni kuonyesha upumbavu wako uko kiasi gani kwa sababu kama unajua ubongo wangu hauna kisoda, kwa nini unapoteza muda wako kuhangaika na mtu ambaye ubongo wake hauna kisoda!
Kumbuka upumbavu ni sifa kama vile mtu mrefu au mfupi!
Chombo cha habari akianzishe Millard Ayo, mafanikio yapatikane halafu wajinga fulani waanze kumpangia jinsi ya kufanya kazi zake!
Wakati anaanzisha chombo hakuenda kumuomba Lema ushauri halafu baada ya kufanikiwa eti ndio wajinga fulani wanaanza kutoa ushauri!
Kijana Millard Ayo hata baada ya kufeli kidato cha nne lakini hakukata tamaa aliamua kujiunga chuo kwa kozi ya mwaka mmoja ya Uandishi wa Habari, Arusha. Huo ukawa mwanzo wa mafanikio yake ambayo leo wajinga fulani wanataka kumpangia nini cha kufanya.
Kama Lema anadhani Millard Ayo hatangazi yale ambayo yeye anadhani yanafaa yatangazwe basi Lema aanzishe chombo chake cha habari! It's just simple!
Kulazimisha mambo fulani yafanywe kwa matakwa yako ni udikteta kama udikteta mwingine!
Msahuri Lema amwambie Mbowe atunze hela za ruzuku ya miezi 5 tu uone kama hamjaanzisha kituo kama cha Ayo ili miwe mnatqngaza mnachotaka.Waliokupa hizo likes nao ni wajinga wenzio . Kwa kuwaona wengine wajinga, ukadhani wewe ni mwerevu. Kama ambavyo hutaki Lema ampangie Millard cha kufanya nawe usimpangie Lema cha kukoment.
Nchi hii tumekuwa na unafki uliopitiliza . Unapotangaza ubaya wa jirani . Wakati hapa nyumbani huwezi hata kusimulia yanayofanyika kwa WaTz wenzio ni zaidi ya UNAFKI
Odhis *
Voda ndio mtandao gani?Hivi nyinyi si mlishagomea nyimbo za Diamond na line za voda? mmefanikiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app