Narudia, siasa si umbea na majungu. Siasa ni maono na mikakati ya kuwaongoza wananchi kwa kuwaletea maendeleo. Hatupo kusikiliza majungu. Tunataka tuone nini kitafanyika kuhusu uchumi, kuhusu maendeleo ya jamii, kuhusu afya na kadhalika. Siyo kila siku mtu kuongelea watu. Kuna usemi usemao akili ndogo uongelea watu, lakini akili kubwa uongelea maswala makubwa ya kijamii. Sina ushabiki wa kumshabikia mtu tu, kwa uropokaji. Bali natumia akili kujiuliza huyu kiongozi ana maono yapi, mawazo gani mapya aliyonayo kuifanya Tanzania ipige hatua kimaendeleo.Siasa ni watu watu ni siasi
Mapungufu ya mwanasiasi ni daraja na ngazi ya mwanasiasa
Ulitaka ongelee mapungufu ya Wanyama ?!
Sema Lema na ww Rudi Tz sion ulichokimbia..
Labda ulitaka familia yako iishi huko
Rudi Nyumbani wakati wenu wa kuchukua nchi ni sasa Gaidi hayupo tena
Uyu mkimvua ushingi mshaingia ikulu
Muendelee kunywa Konyagi.