Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,894
- 33,450
Diamond asingekuwa mkubwa kuzidi chadema viongozi wako wasihangaika kupambana nae.Koma kabisa hebu toa huu ushuzi tangu lini Mondi akawa zaidi ya chadema? ccm yenyewe pamoja na kukomaa na kuota mvi huko johanesburg lakini inaugwaya mtiti wa chadema hadi ikimbiliea polisi na usalama wa taifa ili kushinda wakisaidiwa na magari ya deraya na washawasha acha kuonesha upumbavu wako.
Ukome kuifananisha cdm na upuuzi wa aina yoyote tena nisije sikia unarudia maana waweza jikuta umepasukiwa yai maeneo ya kinyume cha mdomo chunga sana usije jikuta umezoa laana hadi kizazi cha nne, ina maana huna hoja? kwa hiyo mondi akigombea na Lema Arusha kwa akili zako za kukopa Mondi atashinda? hivi unawajua vijana wa ARACHUGA?
Chadema ni fungu la kukosa