Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

Hivi ni kweli hii chadema ninayoijua au watu wanaongeza mambo tu. Mbona ni ujuha wa hali juu namna hii wanahangaika nao.

Mambo kibao ya maana ya kushuulika nayo wamewaacha wale covid 19, katiba mpya, makamanda kibao wapo vifungoni huko, hawapazi sauti kama hii kampeni yao ya kumshusha diamond ambayo najua 100% hawataweza kabisa.

Nilikua namkubali sana lema ila kwa hili jamaa nimemtoa kwa watu makini aisee. Ni juha mmojawapo nae.
 
Hao ndo viongozi wa chadema,ukiwapa nchi watachinja kila anayewakosoa na asiyekubaliana nao.

Hivi hio harakati ya kumtoa BET si walitabiri inachukua siku mbili tu anaondolewa kumbe bado hawajafanikiwa.

Nchi hii kila mtu ni hater😂😂😂😂😂😂😂
 
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni hatari zaidi ya gaidi.

Diamond ana "tabu" sana mwaka huu!

View attachment 1810929
Mambo mengine ni ya aibu hata kuyaona. Ulitaka Daimond aseme kitu gani ? wakati wewe Lema unafanya Mambo ya uporaji na wizi wa magari mwanamuziki gani alipaza sauti ? Uliondoka ulisema umeibiwa kura , Sasa so urudi ufungue kesi ? Unafikiri watanzania wote ni vilaza ? 2020 mi nilikuwa wakala wako na unajua mawakala wote tulisaini form za kukubali matokeo , uliibuwa wapi ? Endelea kudanganya watu
 
Mbona wasanii karibia wote walimuunga mkono magu kwanini mnakomaa na diamond tu ndio maana watu wanahisi mna agenda yenu kwa huyo dogo tofauti na hiki mnachotuaminisha
Siyo wasanii wote wamekuwa nominated BET. Subiri na hao wengine waliounga mkono udikteta wawe nominated kokote watakapo hitaji support ya public uone kama hawajaanzishiwa kampeni ya kuwakwamisha
 
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni hatari zaidi ya gaidi.

Diamond ana "tabu" sana mwaka huu!

View attachment 1810929
godbless lema hzo ni njaa tu zinakusumbua.Hao bet wanajua kuwa kipind cha uchaguz wa nchi yeyote ile wanamuzik wanahak ya kuchagua chama cha kukiunga mkono.Mbona uchaguz wa marekan wakina jay z walikuwa wanajulikana wapo upande wa bidden.km njaa zimekuzid huko ubelgij njoo mond atakupa kaz na ww utakuwa chawa wake,utakuwa unasaidiana na baba levo.#go diamond go
 
Hv we lema youtube wanakujua nan had useme unataka kumtoa mond?Mwenzio huyo mond huko youtube ana magunia yake ya hela wanamtunzia.Had leo mond amechota zaid ya bilion moja.Halaf ww lema uende uwaambie wamtoe mond mbona watakuona kichaa?
 
Hivi hawa hawajui kuwa Diamond is bigger than chadema. hivi diamond agombee urais na mbowe/lissu/lema nani atapata kura nyingi
Koma kabisa hebu toa huu ushuzi tangu lini Mondi akawa zaidi ya chadema? ccm yenyewe pamoja na kukomaa na kuota mvi huko johanesburg lakini inaugwaya mtiti wa chadema hadi ikimbiliea polisi na usalama wa taifa ili kushinda wakisaidiwa na magari ya deraya na washawasha acha kuonesha upumbavu wako.

Ukome kuifananisha cdm na upuuzi wa aina yoyote tena nisije sikia unarudia maana waweza jikuta umepasukiwa yai maeneo ya kinyume cha mdomo chunga sana usije jikuta umezoa laana hadi kizazi cha nne, ina maana huna hoja? kwa hiyo mondi akigombea na Lema Arusha kwa akili zako za kukopa Mondi atashinda? hivi unawajua vijana wa ARACHUGA?
 
Mondi ni zaidi ya chadema. Unaweza bisha sababu ni jadi yenu ila ndio ukweli.
 
Na Mie sielewi why diamond pekee?

Ni vitu vya ajabu sana
Ni wivu mkuu!..

Lema anaishi kwa hela za wanaume wenzie kule canada ila mondi anaishi kwa hela zake ndio wivu wa Lema ulipo
 
Back
Top Bottom