God was created when the first con-man met the first fool

comred

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
1,867
1,602
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.

Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..

Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..

Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
 
Kinachofanya huo uongo wa kuwepo Mungu udumu hadi leo ni nini? ni wazi inaonekana hadi leo kumekosekana ukweli wa kuweza kuondoa huu uongo na ndiyo maana hadi leo huo uongo bado upo kwa maana ukweli bado haujajulikana.
 
Jibu ni Rahisi tu..!
God ni simple answer ya swali lolote Lile
So wajinga wengi wanakimbilia hapo kujibu maswali magumu
 
Hivi nyie ma-atheist mbona sijawahi kuwasikia hata siku moja mkimpinga Shetani?

Unajua mnajivimbisha vichwa vyenu kujifanya mna akili sana kumbe hakuna kitu.

Hebu niambie, majini (Jini) ni nini na asili yake in ipi?

Mtu mweusi anastaajabisha sana. Ni rahisi kwake kuiga Imani ya mtu mweupe kuliko kuiga mambo yenye faida mf. Teknolojia toka kwa mtu mweupe.

Ni ushamba unawasumbua na sio kingine.
 
Sasa Mtu akishasema Dunia haipo Kuna haja Tena ya yeye kusema Mlima Kilimanjaro haupo?
Hayo majini,Mashetani,Mizimu yote yapo ndani ya God hypothesis
Atheism katika General sense is simply lack of belief in any supernatural entities
 
Hivi nyie ma-atheist mbona sijawahi kuwasikia hata siku moja mkimpinga Shetani?

Unajua mnajivimbisha vichwa vyenu kujifanya mna akili sana kumbe hakuna kitu.

Hebu niambie, majini (Jini) ni nini na asili yake in ipi?

Mtu mweusi anastaajabisha sana. Ni rahisi kwake kuiga Imani ya mtu mweupe kuliko kuiga mambo yenye faida mf. Teknolojia toka kwa mtu mweupe.

Ni ushamba unawasumbua na sio kingine.
Hakuna majini Wala shetani Ila kuna Mungu
 
Hao hapo Einstein Newton wako...
 
Attachments

  • images (51).jpg
    images (51).jpg
    19.1 KB · Views: 87
  • images (48).jpg
    images (48).jpg
    28.8 KB · Views: 98
  • images (49).jpg
    images (49).jpg
    26.2 KB · Views: 87
  • images (50).jpg
    images (50).jpg
    12.1 KB · Views: 86
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.

Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..

Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..

Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
Mpaka mtuanatambua uwepo wa mungu jua kua ametumia akili nyingi.
Kutoonekana kwake basi sio sababu kua hayupo
 
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.

Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..

Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..

Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations

Sio kwamba Mungu hayupo, hata wewe pia ni Mungu. Shida inakuja vile tunavyomchukulia huyu Mungu sijui kumwabudu, kumsifu kumtolea sadaka n.k hapa ndipo tulipologwa na wazungu. Hakuna Mungu wa aina hiyo Mungu ni Mimi na wewe yaani sisi ni Mungu.
 
Back
Top Bottom