Kauzu Kinyama
Member
- Aug 13, 2011
- 41
- 5
Wana jamvi nimecheza hii game hadi nimefika sehemu ambayo nahitaji kuvuta crank, instruction inanitaka kuhold R1 na L3 ili kuivuta hiyo crank, sasa ishu ni kufungua huo mlango ambapo unafunguka pakiwa na kitu kizito juu yake. Hapo nimeshindwa kuendelea as ile ile crank haifiki hapo pa kuzuia mlango kujifunga.
Kwa mwenye ujuzi hapo naomba msaada.
Kwa mwenye ujuzi hapo naomba msaada.