God is playing tricks on me?!

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,462
Yani kila siku hili jambo linanitokea ....
naweza kuwa nipo peke yangu sehemu nikakaa mda mrefu..
nisione msichana yeyote wa kunitoa udenda akitokea..
hata barabarani nikitembea kama nipo peke yangu ni hivyo hivyo...
but ikitokea tu naongozana na mrembo hivi au nipo
sehemu hivi na my sweetheart hapo ndio exactly atatokea
msichana kifaaa cha kweli kweli cha kunitoa udenda,yaani
wakati mwingine napoteza network kabisa,nakuwa kama
kama nipo kwenye ganzi hivi kwa dakika kadhaa.
halafu sasa wakati mimi nakuwa nimebanwa na my sweetheart,
mara zote warembo hao wanakuwa free hivi na kama wananitazama tazama.
kiuchokozi chokozi...as if wanasema ungekuwa peke yako ........
kinachonishangaza hali hii ni kila siku,
siwezi kukaa sehemu hivi na mrembo bila mrembo mwingine kutokea
kama Mungu anasema ona kifaa hiki,ona na hiki.....ona hiki sasa...
yaani ni kama upo out na Halle Berry halafu anatokea Beyonce hivi yupo yupo tu
ana gaaa gaa,hujakaa vizuri anatokea Alicia Keys hivi nae anazubaa zubaa anga zako.mmenipata??????
 
ndo nakupendeaga hopo tu! straight to the point and well said

@Sexy, si unajua hayo majaribu ndo hutufanya strong!!!


...with fire we test gold and with gold we test men....!! (@boss maandiko yetu hutufunza hivyo)
 
The Boss kumbe wewe unataka chovyachovya isikilize sauti ya mungu yeye hapendi hivyo ndo maana anakuepusha
 
Kubali kushindwa kwanza; utamake up on the next round! God is proving how much you have embraced Satan!
 
nafikiri Mungu ananiambia huwezi maliza warembo wote.
wako wengi sana,so choose mmoja.but .......najiuliza why me??????
mitihani yote hii??????
 
nafikiri Mungu ananiambia huwezi maliza warembo wote.
wako wengi sana,so choose mmoja.but .......najiuliza why me??????
mitihani yote hii??????

kuna wengine wanayo zaidi yako pengine
mara nyingi nikiwa mgonjwa na kwenda hospitali (hapo kweli najiskia naumwa kweli kweli), nikifika huko nakuta kuna "wagonjwa" hasaa mpaka najiona mie mzima.....
 
nafikiri Mungu ananiambia huwezi maliza warembo wote.
wako wengi sana,so choose mmoja.but .......najiuliza why me??????
mitihani yote hii??????
hiyo mitihani unajipa mwenyewe,AU SHETANI!
SIO MPANGO WA MUNGU KUMKWAZA MWANADAMU.....!watch out
 
huyo sio mungu ni ibilisi au unatembea na jini mahaba kwa hiyo anakutega.........................
hata hivo kaka hujaeleweka sana yaani we ukiwa peke yako haitokei isipokuwa ukiwa na kimwana wako............huo mtihani .......usiweke tamaa mbele kwani hakuna mrembo zaidi ya demu wako ukiamini hivyo hata aje nani utamuona wa kawaida tu.......sijui kama upo au vp ila mwache mungu aitwe mungu kwani bible inasema (USISEME NAJARIBIWA NA MUNGU KWANI MUNGU HAMJARIBU MWANADAMU)
 
hiyo mitihani unajipa mwenyewe,AU SHETANI!
SIO MPANGP WA MUNGU KUMKWAZA MWANADAMU.....!watch out

mkuu.
kwanza hongera kwa kuoa.
sikupata mda wa kukupa hongera.
but toka uoe naona umekuwa na busara sana.
nasubiri ukae mwaka mzima nione.
usije kuwa shetani kutuzidi sisi...
 
mkuu.
kwanza hongera kwa kuoa.
sikupata mda wa kukupa hongera.
but toka uoe naona umekuwa na busara sana.
nasubiri ukae mwaka mzima nione.
usije kuwa shetani kutuzidi sisi...
mbona siku hizi binadamu tunamshangaza hata shetani mwenyewe, siku hizi shetani hana kazi kabisaaaaaaaaa
 
mkuu.
kwanza hongera kwa kuoa.
sikupata mda wa kukupa hongera.
but toka uoe naona umekuwa na busara sana.
nasubiri ukae mwaka mzima nione.
usije kuwa shetani kutuzidi sisi...
Subiri subiri!
lakini pia ni vyema ukawa unaniombea mabaya pia,MAANAKE NDICHO UNACHOKISUBIRI
 
me nilidhani ungemsifia mrembo wako kuwa ni better than them... gosh....!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom