The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,885
Yani kila siku hili jambo linanitokea ....
naweza kuwa nipo peke yangu sehemu nikakaa mda mrefu..
nisione msichana yeyote wa kunitoa udenda akitokea..
hata barabarani nikitembea kama nipo peke yangu ni hivyo hivyo...
but ikitokea tu naongozana na mrembo hivi au nipo
sehemu hivi na my sweetheart hapo ndio exactly atatokea
msichana kifaaa cha kweli kweli cha kunitoa udenda,yaani
wakati mwingine napoteza network kabisa,nakuwa kama
kama nipo kwenye ganzi hivi kwa dakika kadhaa.
halafu sasa wakati mimi nakuwa nimebanwa na my sweetheart,
mara zote warembo hao wanakuwa free hivi na kama wananitazama tazama.
kiuchokozi chokozi...as if wanasema ungekuwa peke yako ........
kinachonishangaza hali hii ni kila siku,
siwezi kukaa sehemu hivi na mrembo bila mrembo mwingine kutokea
kama Mungu anasema ona kifaa hiki,ona na hiki.....ona hiki sasa...
yaani ni kama upo out na Halle Berry halafu anatokea Beyonce hivi yupo yupo tu
ana gaaa gaa,hujakaa vizuri anatokea Alicia Keys hivi nae anazubaa zubaa anga zako.mmenipata??????