God Created Life...... Life existence is an intentional act by God

Dark Energy

Member
Apr 14, 2018
14
21
Habarini wana ndugu..... Nimepata msukumo wa kuandaa thread hii kutokana na nyuzi mbalimbali nilizozisoma kwenywe jukwaa, pamoja na kuona umuhimu wa kushare information.

Ni uzi wangu wa kwanza kuandika, pengine composition inaweza isiwe nzuri sana.

.....Kama kichwa kinavosema hapo juu, uzi huu utajaribu kuelezea Mungu kama chanzo cha maisha cha viumbe hai. Nitajaribu kuelezea kwa kutumia claims tofauti tofauti hasa jwa kutumia references za maandiko ya The God Code, Book of creation (Sepher Yetzirah)

1.The name of God in living cells of all species.

Kama tunavofahama kwamba viumbe hai wote yaani kuanzia single celled organisms to multicellular ones, basic component of life ni DNA.
DNA ni coded double helix cellular structure, within it a divine message has been revealed.
Ujumbe ambao umeonekana katika DNA za viumbe hai unasema "God within the body”.
Na hii imezihilishwa kwa kutumia grematia au cryptonumerology method. Ikiwa A=1, B=2.....Z=26.

DNA(Deoxyribose Nucleic Acid)=225
225=9 yani 2+2+5. Hapo tunaona the value has decreased to 9.

Tukifanya numerical comparison na phrase "YHYW Within the body” tunapata exactly the numerical value 225 which reduces to 9!

Vilevile The Numerical summation of the message God within the body inatupa 162, 162=9

Hapa tunaona wazi ni kwamba the divine message is encoded within the DNA.

2.The hidden meaning of SOUL And HEAVEN.
If God is the grand creator kama ninavoamini, basi yeye ndiye aliyevuumba mbingu na nafsi za wote waishio. Mungu aliumba mbingu na nchi kama distinctive layers and baadae mwanadamu awe daraja ya viwili, yaani ndoa ya heaven (spirit/soul) na earth.

Kwa kutumia grematia method tunaweza kujiridhisha na nadharia hii

Kwa kiebrania heaven ni HaShaYiM, kwa destur yao vowels zinakuwa omitted na kubakiwa na consonants tu kwa hyo itasomeka HAhMYM.
Numerical value yake itakuwa (5+300+40+10+40)=395

Neno soul kwa kihebrew ni NeShaMaH

NShMH (50+300+40+5)=395
Kwa hyo heaven=soul

In grematia rules, two words related in number, are also related in nature as well.

3.The Elements of our body DNA.
Kama ilivyo kwamba elements zinazounda DNA ni Hydrogen, Oxygen na Nitrogen ambazo respectively zina mass za 1.007, 15.99 na 14.00.
The masses in their simple form... oygen itakuw 1, oxygen itakuwa 6(1+5) na nitrogen 5(1+4).

Na kwa kiebreania herufi tatu zinazazo wakilisha Mungu ni YHV... ambazo nazo katika hebrew alphabeti code ni 1,5 na 6 kama zinacorrespond kabisa na zile za simplified masses za hydrogen, nitrogen na oxygen.
0d87896eb7af0c8a8be96d0d055bb959.jpg
0d87896eb7af0c8a8be96d0d055bb959.jpg

866aaf01d7193c5f7114340e9e3e273a.jpg

Ni hayo tu wakuuu... karibuni tupeane mawazo
 
Kiongozi! Umeandika kisomi zaidi kana kwamba unaowasilishia haya mambo nao wamebobea kwenye hili. Kama hautojali nyambulisha zaidi ili raia wengine nao wapate mantiki nzima ya Uzi wako na itasaidia na wao kuchangia pengine.

Ni ushauri tu Kiongozi.
 
Ahsante mkuu kwa ushauri wako...
Pengine ni kukosa uzoefu wa kuandaa threads... nitajitahid kulifanyia kazi hlo
 
Habarini wana ndugu..... Nimepata msukumo wa kuandaa thread hii kutokana na nyuzi mbalimbali nilizozisoma kwenywe jukwaa, pamoja na kuona umuhimu wa kushare information.

Ni uzi wangu wa kwanza kuandika, pengine composition inaweza isiwe nzuri sana.

.....Kama kichwa kinavosema hapo juu, uzi huu utajaribu kuelezea Mungu kama chanzo cha maisha cha viumbe hai. Nitajaribu kuelezea kwa kutumia claims tofauti tofauti hasa jwa kutumia references za maandiko ya The God Code, Book of creation (Sepher Yetzirah)

1.The name of God in living cells of all species.

Kama tunavofahama kwamba viumbe hai wote yaani kuanzia single celled organisms to multicellular ones, basic component of life ni DNA.
DNA ni coded double helix cellular structure, within it a divine message has been revealed.
Ujumbe ambao umeonekana katika DNA za viumbe hai unasema "God within the body”.
Na hii imezihilishwa kwa kutumia grematia au cryptonumerology method. Ikiwa A=1, B=2.....Z=26.

DNA(Deoxyribose Nucleic Acid)=225
225=9 yani 2+2+5. Hapo tunaona the value has decreased to 9.

Tukifanya numerical comparison na phrase "YHYW Within the body” tunapata exactly the numerical value 225 which reduces to 9!

Vilevile The Numerical summation of the message God within the body inatupa 162, 162=9

Hapa tunaona wazi ni kwamba the divine message is encoded within the DNA.

2.The hidden meaning of SOUL And HEAVEN.
If God is the grand creator kama ninavoamini, basi yeye ndiye aliyevuumba mbingu na nafsi za wote waishio. Mungu aliumba mbingu na nchi kama distinctive layers and baadae mwanadamu awe daraja ya viwili, yaani ndoa ya heaven (spirit/soul) na earth.

Kwa kutumia grematia method tunaweza kujiridhisha na nadharia hii

Kwa kiebrania heaven ni HaShaYiM, kwa destur yao vowels zinakuwa omitted na kubakiwa na consonants tu kwa hyo itasomeka HAhMYM.
Numerical value yake itakuwa (5+300+40+10+40)=395

Neno soul kwa kihebrew ni NeShaMaH

NShMH (50+300+40+5)=395
Kwa hyo heaven=soul

In grematia rules, two words related in number, are also related in nature as well.

3.The Elements of our body DNA.
Kama ilivyo kwamba elements zinazounda DNA ni Hydrogen, Oxygen na Nitrogen ambazo respectively zina mass za 1.007, 15.99 na 14.00.
The masses in their simple form... oygen itakuw 1, oxygen itakuwa 6(1+5) na nitrogen 5(1+4).

Na kwa kiebreania herufi tatu zinazazo wakilisha Mungu ni YHV... ambazo nazo katika hebrew alphabeti code ni 1,5 na 6 kama zinacorrespond kabisa na zile za simplified masses za hydrogen, nitrogen na oxygen.
0d87896eb7af0c8a8be96d0d055bb959.jpg
0d87896eb7af0c8a8be96d0d055bb959.jpg

866aaf01d7193c5f7114340e9e3e273a.jpg

Ni hayo tu wakuuu... karibuni tupeane mawazo
Chukua DNA kwa kichina then tumia hizo code au kwa kirusi binafsi sijaona logic yoyote hapo katika ulichoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza hii kitu umekaa ukatunga tunga ili uweze kutuaminisha mawazo yako lkn, sio proof ambayo mtu anaweza kuitegemea.

mfano: nakunukuu

"Kwa kiebrania heaven ni HaShaYiM, kwa destur yao vowels zinakuwa omitted na kubakiwa na consonants tu kwa hyo itasomeka HAhMYM.
Numerical value yake itakuwa (5+300+40+10+40)=395"

hapo umesema consonants zinatolewa lakini wewe ili kutimiza malengo yako, consonant moja umeiacha.

Ingawa sikupingi kwa idea yako Mungu yupo katika kila seli hai, inawezekana kuna usahihi juu ya hilo, mana nshakutana na andiko moja katika Quran 50:16
Inasema:
" Na hakika tumemuumba mtu, nasi tunayajua yanayompitikia katika nafsi yake.Na sisi tupo karibu naye kuliko mshipa wa shingoni mwake"

Hii inaonesha ukaribu wa Mungu kwa viumbe wake.

Lakini mkuu hii idea yako ya kutaka kuthibitisha hili, kwa mimi naona kama umelazimisha.

Ahsante!
Ni mtazamo wangu tu. Pengine sikukuelewa vizuri.

Why kwa kiebrania na sio kwa kiswahili?
 
Yah ni makosa ya kiuandishi, ilipaswa iwe Sh badala ya Ah, Sh ni hebrew alphabetical yenye value ya 300.

Ahsante kwa mchango wako
 
Why kwa kiebrania na sio kwa kiswahili?

Mkuu ni kwamba mafundisho yote ya kidini unayofundishwa hivi sasa ni translations za ancestor languages either kiebrania au kiarabu. Sina uhakika sana na kiarabu

Maana tunaambiwa binadamu wa kwanza kuumbwa aliitwa Adam, na Adam linatokea kwenye word root la kiebrania Adamah. Adamah ni land au earth.

Na hapa ndo tunaona ile nadharia ya kwamba sisi ni udongo na mavumbini tutarudi.

Nadhani nitakuwa nimejitahid kuelezea kwa nini kiebrania na sio kiswahili.
 
Ila waebrania ya ki freemason wana theory za elimu hadi unachanganyikiwa, mwisho wa siku wanakwambia dini tofauti isiyoamini katika kweli tunayoijua ile ya Mwana wa Mungu Yahushua. Elimu za namba ni very complex, kwa sababu hao hao Illuminati na Freemasons na elites wengineo, wanataka tuyameze mafundisho yao.
Bado sijaamini katika ""kweli zao"" naona wananipotosha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana ndugu..... Nimepata msukumo wa kuandaa thread hii kutokana na nyuzi mbalimbali nilizozisoma kwenywe jukwaa, pamoja na kuona umuhimu wa kushare information.

Ni uzi wangu wa kwanza kuandika, pengine composition inaweza isiwe nzuri sana.

.....Kama kichwa kinavosema hapo juu, uzi huu utajaribu kuelezea Mungu kama chanzo cha maisha cha viumbe hai. Nitajaribu kuelezea kwa kutumia claims tofauti tofauti hasa jwa kutumia references za maandiko ya The God Code, Book of creation (Sepher Yetzirah)

1.The name of God in living cells of all species.

Kama tunavofahama kwamba viumbe hai wote yaani kuanzia single celled organisms to multicellular ones, basic component of life ni DNA.
DNA ni coded double helix cellular structure, within it a divine message has been revealed.
Ujumbe ambao umeonekana katika DNA za viumbe hai unasema "God within the body”.
Na hii imezihilishwa kwa kutumia grematia au cryptonumerology method. Ikiwa A=1, B=2.....Z=26.

DNA(Deoxyribose Nucleic Acid)=225
225=9 yani 2+2+5. Hapo tunaona the value has decreased to 9.

Tukifanya numerical comparison na phrase "YHYW Within the body” tunapata exactly the numerical value 225 which reduces to 9!

Vilevile The Numerical summation of the message God within the body inatupa 162, 162=9

Hapa tunaona wazi ni kwamba the divine message is encoded within the DNA.

2.The hidden meaning of SOUL And HEAVEN.
If God is the grand creator kama ninavoamini, basi yeye ndiye aliyevuumba mbingu na nafsi za wote waishio. Mungu aliumba mbingu na nchi kama distinctive layers and baadae mwanadamu awe daraja ya viwili, yaani ndoa ya heaven (spirit/soul) na earth.

Kwa kutumia grematia method tunaweza kujiridhisha na nadharia hii

Kwa kiebrania heaven ni HaShaYiM, kwa destur yao vowels zinakuwa omitted na kubakiwa na consonants tu kwa hyo itasomeka HAhMYM.
Numerical value yake itakuwa (5+300+40+10+40)=395

Neno soul kwa kihebrew ni NeShaMaH

NShMH (50+300+40+5)=395
Kwa hyo heaven=soul

In grematia rules, two words related in number, are also related in nature as well.

3.The Elements of our body DNA.
Kama ilivyo kwamba elements zinazounda DNA ni Hydrogen, Oxygen na Nitrogen ambazo respectively zina mass za 1.007, 15.99 na 14.00.
The masses in their simple form... oygen itakuw 1, oxygen itakuwa 6(1+5) na nitrogen 5(1+4).

Na kwa kiebreania herufi tatu zinazazo wakilisha Mungu ni YHV... ambazo nazo katika hebrew alphabeti code ni 1,5 na 6 kama zinacorrespond kabisa na zile za simplified masses za hydrogen, nitrogen na oxygen.
0d87896eb7af0c8a8be96d0d055bb959.jpg
0d87896eb7af0c8a8be96d0d055bb959.jpg

866aaf01d7193c5f7114340e9e3e273a.jpg

Ni hayo tu wakuuu... karibuni tupeane mawazo
Same things written in ZOHAR

.
 
Ni yaleyale

Kumbe unataka kutuaminisha kwamba kuna Mungu Muumba wa yote sio? Muumba wa yanayoonekana na yasiyoonekana.

Oky, kama hutojali tunaomba sifa zake na namna ya kumwendea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom