Dark Energy
Member
- Apr 14, 2018
- 14
- 21
Habarini wana ndugu..... Nimepata msukumo wa kuandaa thread hii kutokana na nyuzi mbalimbali nilizozisoma kwenywe jukwaa, pamoja na kuona umuhimu wa kushare information.
Ni uzi wangu wa kwanza kuandika, pengine composition inaweza isiwe nzuri sana.
.....Kama kichwa kinavosema hapo juu, uzi huu utajaribu kuelezea Mungu kama chanzo cha maisha cha viumbe hai. Nitajaribu kuelezea kwa kutumia claims tofauti tofauti hasa jwa kutumia references za maandiko ya The God Code, Book of creation (Sepher Yetzirah)
1.The name of God in living cells of all species.
Kama tunavofahama kwamba viumbe hai wote yaani kuanzia single celled organisms to multicellular ones, basic component of life ni DNA.
DNA ni coded double helix cellular structure, within it a divine message has been revealed.
Ujumbe ambao umeonekana katika DNA za viumbe hai unasema "God within the body”.
Na hii imezihilishwa kwa kutumia grematia au cryptonumerology method. Ikiwa A=1, B=2.....Z=26.
DNA(Deoxyribose Nucleic Acid)=225
225=9 yani 2+2+5. Hapo tunaona the value has decreased to 9.
Tukifanya numerical comparison na phrase "YHYW Within the body” tunapata exactly the numerical value 225 which reduces to 9!
Vilevile The Numerical summation of the message God within the body inatupa 162, 162=9
Hapa tunaona wazi ni kwamba the divine message is encoded within the DNA.
2.The hidden meaning of SOUL And HEAVEN.
If God is the grand creator kama ninavoamini, basi yeye ndiye aliyevuumba mbingu na nafsi za wote waishio. Mungu aliumba mbingu na nchi kama distinctive layers and baadae mwanadamu awe daraja ya viwili, yaani ndoa ya heaven (spirit/soul) na earth.
Kwa kutumia grematia method tunaweza kujiridhisha na nadharia hii
Kwa kiebrania heaven ni HaShaYiM, kwa destur yao vowels zinakuwa omitted na kubakiwa na consonants tu kwa hyo itasomeka HAhMYM.
Numerical value yake itakuwa (5+300+40+10+40)=395
Neno soul kwa kihebrew ni NeShaMaH
NShMH (50+300+40+5)=395
Kwa hyo heaven=soul
In grematia rules, two words related in number, are also related in nature as well.
3.The Elements of our body DNA.
Kama ilivyo kwamba elements zinazounda DNA ni Hydrogen, Oxygen na Nitrogen ambazo respectively zina mass za 1.007, 15.99 na 14.00.
The masses in their simple form... oygen itakuw 1, oxygen itakuwa 6(1+5) na nitrogen 5(1+4).
Na kwa kiebreania herufi tatu zinazazo wakilisha Mungu ni YHV... ambazo nazo katika hebrew alphabeti code ni 1,5 na 6 kama zinacorrespond kabisa na zile za simplified masses za hydrogen, nitrogen na oxygen.
Ni hayo tu wakuuu... karibuni tupeane mawazo