God bless viongozi wa Kenya kwa kutumia fursa

Msulunje

Member
Oct 6, 2015
67
35
12809514_197521420613059_4035570258548927636_n.jpg

Wakati viongozi wa Tanzania wako busy KUNG'ANG'ANIA umeya dar...wamesahau hata ku'deal na mali za Tanzania Inavyobebwa na vibaka wa Kenya. ..haya sasa leo mlima Kilimanjaro ni mali ya Kenya, na mpk kwenye ndege zao umeanza kuwekwa kwa matangzao. ..

God bless viongozi wa Kenya kwa kutumia fursa...Acheni haya mazumbukuku ya CCM HUKU YAENDELEE KUZURUMU HAKI ZA WENGINE.....
 
Back
Top Bottom