Goal ya maisha!

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,194
1,434
Katika write up za research kuna goal (broad objective) na Objectives (specific/narrow objectives), kuna rafiki yangu kaniuliza nini goal ya maisha yako unayotaka ku-fullfill? nime-stuck naomba mnipe mifano ya goal za maisha. mimi ni mwajiriwa wa serikali kuu, wizara ya mali asili,nina Master's degree, nina mke na watoto watatu (10, 7 na 4 yrs old) ninaishi nyumba ya serikali, sina nyumba yangu sina biashara yoyote. mke wangu ni mfanyakazi wa internet cafe ya mtu binafsi (mhindi).
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom