Go go Tanzania! Kufa Kupona Leo!!!

K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
218
Mechi ya leo saa 08:00 mchana huu ya Kilimanjaro Stars (Tanzania) dhidi ya Burundi katika Senior Challenge Cup ni muhimu sana sio tu kwa michuano hiyo lakini pia kwa FIFA World Rankings! Hivi sasa katika eneo hili la EAC sisi TZ tupo namba 124 tukiwa nyuma ya Waganda (86), Warundi (112), Wajivuni (117)--tukiwa juu ya Wanyarwanda tu. Kwa hiyo mechi ya leo ina umuhimu mkubwa kwetu ili itupandishe chati ya FIFA. Inatakiwa walio karibu na vijana hivi leo (au TFF for that matter) wawaeleze vijana kuhusu umuhimu huo. Go go boys!!
 
Hayo mashindano hayana uwezo wa kuipandisha Timu kwenye viwango vya FIFA, sio mashindano rasmi ndani ya FIFA
 
Kapitie kumbukumbu zako tena! Mashindano haya yameshatubeba sana katika FIFA rankings!! Subiri mashindano haya yaishe uone matokeo mwisho wa mwezi huu.
 
Kaka Rank zote za Fifa zinapatikana na mashindano yoyote yaliyokuwa rasmi na FIFA, haya hayamo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom