GNI per capital ya Tanzania

chase amante

JF-Expert Member
Feb 24, 2018
5,553
2,073
Habarini wanajamvi.

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba msaada wa kujua GNI per capita ya Tanzania mwaka 2020.

Nitashukuru zaidi Nikipata na source ya habari.
 
2020 haijatoka. Ila ya 2019 haifiki $1,090.
20200702_134555.jpg
 
Hahahahahahahaha..........

Hiyo.graph imepanda bila ya hata kuyumba kidogo mkuu!!
Duh!
Kila mwaka GDP inapanda hivyo Graph za GDP na Per capita zinapanda daima kwetu.
Ingekuwa ni za GDP growth (%) au Per capita growth (%) ndo zingepanda na kushuka maana kuna kipindi asilimia za ukuaji zinakuwa juu wakati mwingine chini.
Hiyo Graph haina shaka kabisa.
 
Back
Top Bottom