Global Publishers pls help

Status
Not open for further replies.

bingo

New Member
Oct 15, 2007
2
0
Jamani Kama Nimpenzi Waudaku Nilikua Nafatilia Sana Gazeti La Ijumaa Na Magazeti Yake Mama But Now Whenever I Tried To Open " Bandwidth Limit" Kulikoni? Hembu Basi Wakina Shingingo Fatilieni Hili Jamani Japo Kuwa Ni Wasomaji Wa Bure But Still Tuna-haki.
 
"OUT OF TOPIC"
Kama mpenzi wa magazeti ya udaku ni mekuwa na tatizo la "band width limit" kwa takribani week kazaa sasa whenever i tries to open tovuti ya globalpublisherstz.com sasa naomba wahusika mlifatilie hili japo kuwa ni wasoji wa bure but tuna haki yetu,
Na mnaofahamiana na akina shigongo kama mchopanga-kumbikila wakumbusheni jamani!
 
Mpigie simu Shigongo (nadhani kaweka namba za simu kwenye magazeti yake) au andika email kwenda kwa info@globalpublisherstz.com umwambie anunue dedicated server kuweza ku-handle business za masuala ya mitandao kwani ana wateja wengi tofauti na matarajio yake. Aidha mwambie awe anatoa taarifa mapema kwa wateja wake ili kuepusha malalamiko ambayo hayakutarajiwa hata kupitia tovuti nyingine ili wateja wake wawe na subira wakati anaweka mambo sawa.

Karibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom