Mpigie simu Shigongo (nadhani kaweka namba za simu kwenye magazeti yake) au andika email kwenda kwa info@globalpublisherstz.com umwambie anunue dedicated server kuweza ku-handle business za masuala ya mitandao kwani ana wateja wengi tofauti na matarajio yake. Aidha mwambie awe anatoa taarifa mapema kwa wateja wake ili kuepusha malalamiko ambayo hayakutarajiwa hata kupitia tovuti nyingine ili wateja wake wawe na subira wakati anaweka mambo sawa."OUT OF TOPIC"
Kama mpenzi wa magazeti ya udaku ni mekuwa na tatizo la "band width limit" kwa takribani week kazaa sasa whenever i tries to open tovuti ya globalpublisherstz.com sasa naomba wahusika mlifatilie hili japo kuwa ni wasoji wa bure but tuna haki yetu,
Na mnaofahamiana na akina shigongo kama mchopanga-kumbikila wakumbusheni jamani!