Global Publishers na Orijino Komedi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Global Publishers na Orijino Komedi

Discussion in 'Entertainment' started by Balantanda, Jan 5, 2009.

 1. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Hivi jamani hawa jamaa wa Global Publishers(chini ya E.J.Shigongo) wametibuana nini na Orijino Komedi ya kina Masanja???,maana sasa hivi kila kukicha unakuta magazeti ya GPL na mtandao wao utakuta wameandika habari ambazo kwa kiasi kikubwa zinakuwa na lengo la kuiangamiza Orijino Komedi(kwa mtizamo wangu),imefikia hatua jamaa wa GPL wameweka mada kwenye mtandao wao ambayo inawataka wasomaji wa mtandao huo kutoa maoni juu ya ufanisi wa Orijino Komedi walipokuwa EATV na sasa walivyo TBC1,kwa mfano angalia habari hii www.globalpublishertztz.com/2009/01/03/changia_mada_ya_leo.html#comment pia habari hii Global Publishers - Tanzania Newspapers na hii http://www.globalpublisherstz.com/2009/01/03/komedi_wizi_mtupu_wazua_kizaazaa_kariakoo.html ...Hivi tatizo nini hasa jamani???,ni Orijino Komedi ama GPL????
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hawa GPL yawezekana wanalipa fadhila kwa jamaa maana akina Joti wanakandia sana kiaina chanel tano...kwa hiyo na hawa GPL wanajitahidi sana kuwashusha utakuta habari kibao zinazo wahusu hawa jamaa ni kukandia ze comedy mbona hawajaandika walivyo funika kwa Markia hapo walipo enda????
  Ni wazi hawa jamaa wana -attitude na ze comedy.
   
 3. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Ndo hapo sasa mkulu,may be kuna kitu hapa,kwa nini GPL waingilie(ni hisia zangu tu) mgogoro wa EATV na Orijino Komedi??,hapa kuna matatu(kwa mtizamo wangu),labda GPL wametibuana na Orijino Komedi,ama wametibuana na TBC1 ama wameamua kushirikiana na EATV kuwamaliza Orijino Komedi ambao umaarufu wao umeanza kurudi kwa kasi hasa kupitia ile sehemu katika kipindi chao ianyoitwa 'Enzi za mwalimu..........................WIZI MTUPU...Tatizo ni nini hasa wakulu???
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu Balantanda.
  Hawa jamaa kuna mgongo wa nyuma kuna ishu haiwezekani.Sasa hivi wameanzisha eti watu watoe maoni kuporomoka kwa Ze comedy.Kama hawatumiwi na chanel tano basi waliingiliana anga za kiutu uzima.
  Kwa maana bifu za waswahili mala kibao iwa ni wanawake au masrahi.
   
 5. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa mkulu lazima kuna kitu nyuma ya pazia
   
Loading...