Global Peace Index 2020: Kenya na Uganda zaporomoka nafasi 3, Tanzania yapanda nafasi 6

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Global Peace Index – Vision of Humanity

Tanzania imeendelea kudhihirisha kwamba ni kisiwa cha amani baada ya kuchumpa nafasi sita zaidi na kushika nafasi ya 52 duniani kwa amani, Uganda imeshika nafasi ya 109 baada ya kuporomoka nafasi 3 chini na kuzidi kuipita Kenya kwa mbali ambayo imeshika nafasi ya 125 baada ya kushuka nafasi 3 chini.

Hali ya usalama Kenya inazidi kuzorota kwa kasi kutokana na polisi wa Kenya nao kuwa ni sehemu ya makundi ya watu wenye kuwaua watu badala ya kuwalinda.
====

TANZANIA YAONGOZA KWA KUWA NCHI YENYE AMANI ZAIDI AFRIKA MASHARIKI

Utafiti uliofanyika na Taasisi ya Uchumi na Amani (Institute for Economics and Peace) umetaja nchi zenye amani duniani huku Tanzania ikiwa ni ya 52 duniani na ya 1 Afrika Mashariki

Kenya ni nchi ya 125 na Uganda ni ya 109 duniani huku nchi ya kwanza kwa kuwa na amani ni Iceland ikifuatiwa na New Zealand na Portugal na nchi zilizoshika mkia kwa amani ni Iraq, Syria na Afghanstan ni ya mwisho kabisa

Jarida hilo linalotoa hali ya amani kwa nchi huru 163 duniani limeonesha amani ya dunia, Global Peace Index imeshuka kwa 0.34%

Capture.PNG

1.PNG

 

Attachments

  • GPI_2020_web.pdf
    3.6 MB · Views: 10
Tuliwaambia siyo Wakenya tu watakaotii huu mwaka hadi mabeberu watatii sasa wanatii hadi kwa usalama Wa corona
 
Kenya bana wapo kwenye dunia yao kabisa mabwana zao hùko ulaya wanaondoa curfew na partial lockdown na wana reopen school ila still wao wamengangana na mass testing, Kenyata laiti kama angekuwa katika first term basi asingekuwa reelected katika second term, BTW nipo nje ya mada ila nimekuja apa kibera na wenyeji wangu wamenipa kajembe kadogo nikajisaidie kichakani.
 
Kenya bana wapo kwenye dunia yao kabisa mabwana zao hùko ulaya wanaondoa curfew na partial lockdown na wana reopen school ila still wao wamengangana na mass testing, Kenyata laiti kama angekuwa katika first term basi asingekuwa reelected katika second term, BTW nipo nje ya mada ila nimekuja apa kibera na wenyeji wangu wamenipa kajembe kadogo nikajisaidie kichakani
 
Back
Top Bottom