Global Fund withholds shs700b for ARV treatment over gay rights | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Global Fund withholds shs700b for ARV treatment over gay rights

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lukindo, Nov 16, 2011.

 1. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  Wasalaam wana jf.

  Haya mambo ushoga na sera za mkuu David Cameron wengine tulidhani ni utani lakini sasa inaelekea utekelezaji wake usije ukawa hata umeanza hapa tz pia kimya kimya!

  Nimeoina hii article, mnaweza kufuatilia wenyewe huko iliko.
  2011_11$largeimg215_Nov_2011_110709487.jpg
  THE Global Fund has denied Uganda $270m (about sh700b) needed to put over 100,000 more people on lifesaving ARVs because the country's policies are deemed harsh on sexual minorities.


  The AIDS control manager in the Ministry of Health, Dr. Zainab Akol, said the rights of minorities were derailing the fight against HIV/AIDS.

  "By the time we are through with one group's rights, we have 130,000 new infections," she said, adding: "It is as if the global agenda is to use HIV to propagate sexual minority groups. Let them use the proper channels to deal with such issues."

  Source: www.newvision.co.ug/news/30010
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo. Jambo lenyewe "gay rights" limekaa vibaya na in a way ni "crosscutting issue". Sijui tutafanyaje, lakini ni msumari mbaya sana kwenye mila na desturi zetu. Sasa Serikali makini ndiyo zinatakiwa kuweka vipaumbele vya matumizi ya fedha za ndani katika maeneo yote yaliyokaa kimtego mtego, viongozi wetu waende Kenya wakajifunze wenzetu wamewezaje kuendesha nchi yao bila bajeti tegemezi kwa wahisani.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa wako serious na mambo yao..subirini muone kitakachotoea
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  itafika mahali nchi italegeza tu na kisingizio kikuu kwao kitakuwa tusiwaudhi wananchi tukaja kosa kura 2015.
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  hawa wenzetu ndio walitufundisha kuwa "no research no right to speak". Ndio maana kabla hatujamjibu David Cameron ilibidi kujua tulivyojilemaza na misaada. Sasa sijui kama Membe na wenzake wameshafanya research ni wapi watabana ili ku-cover gap ya misaada (lakini ni kubwa mno). Mbali na hapo, loh (inasikitisha sana na machozi yananidondoka kusema hili) itabidi 'tugeuzwe'
   
 6. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakishafanikiwa kupitisha hiyo issue ya haki ya mashoga watakuja na promotion ya ushoga but all in all najua kuwa wanachotaka ni kucontrol population tu
   
 7. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu umeongea point hapo kucontrol population. Hawa jamaa wanafahamu jinsi Waafrika tunavyozaliana kwa kasi,wakati wao wakizidi kupungua kwa sababu vijana hawapendi kuzaa,ushoga,usagaji na wanaozaa wanazaa mtoto mmoja ama wawili. Wameisha anza ona athari za kupungua kizazi chao wkt Waafrika tunazidi ijaza dunia. Kwa hiyo huu unaweza ukawa mkakati wa muda mrefu,na Waafrika tunavyojua kuiga chochote kinachotoka nje ya bara letu yawezekana miaka 50 ijayo utakuta mashoga na wasagaji wamejazana Afrika.
   
 8. Junioroby

  Junioroby Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii agenda haifai kabisa. Ila ikipelekwa ktk bunge la Tz kwa umoja wa wabunge wa chama twawala. kila atakae simama atausema ushoga vibaya mwisha atamalizia kuunga mkono hoja. Wa TZ tuombe hoja hii isiingie ktk mjadala wa bunge
   
 9. z

  zachariah New Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Global Fund reduced aid since gays have very high rates of HIV transmission thus must be considered in any HIV/AIDS reduction plan for it to be effective. however less money hurts straight patients/kids as well :A S cry: . I hope the situation resolves itself for the better.
   
 10. z

  zachariah New Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  not really true for population control idea. gays are a very small portion of the population and in developed countries most have kids (biological or adoption)
   
 11. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  ukweli ni kwamba tunahitaji hela zao misaada yao hatujajipanga kuishi bila misaada yao, Membe alikirupuka kujibu cha moyoni akasahau reality ni kwamba once wazungu wakidhamilia kitu they do it to the limit. So membe atachofanya nadhani wata sign kimya kimya ikija julikana watasema life za watu wengi ziko ktk hatari ilibidi wa sign! Ila ni political disaster kukurupuka kujibu kitu.
   
 12. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  na umesikia sasa hivi wanatusikiliza tunavyoongelea haya masuala kwa dharau na kuamua kuingilia mchakato wa katiba (nimesoma juu ya hilo hapa jf). Tunasahau kuwa watu wanao criticize serikari wanaelewa 'ulemavu' iliojitakia wa kutegemea kila kitu misaada bila hata reasoning! Haya mambo yaweza kutukuta nasi muda sio mrefu na tutalia hata zaidi ya hao waganda
   
Loading...