Global Citizen Paul Kagame vs our "Son of the Soil" kama alivyoitwa na Lissu

Timm Wu

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
505
1,360
Afrika ina viongozi wengi wakora lkn wengine wanasaidiwa na kuijua kwao dunia - mtu kama Paul Kagame ni kiongozi jeuri kweli(waweza kumwita katili) - lkn ni "GLOBAL CITIZEN". He is always in the forefront of big international events, wakati mwingi akifanya interviews zenye maswali magumu kwelikweli kutoka kwa akina BBC, CNN na Al Jazeera - lkn hakasiriki wala hajifichi. Na wakati mwingine akishiriki mijadala au kutoa mihadhara vyuo vikuu vya Marekani kama Havard - na huyu ni mtu ambaye tunaambiwa eti "hakwenda shule"...

Sasa linganisha na wale viongozi Lissu anawaita "Sons of the Soil" na ma- PhD yao - mtu hata interview Channel 10 au TBC hawezi kufanya, mtu hawezi kujibu hata swali la Cyprian Musiba au Pascal Mayalla - sasa huyu watu wakitumia udhaifu wake huo kumpiga kimataifa analalamika nini?

Kweli Tanzania tuliingia chaka kweli kweli 2015 - Kristo aturehemu!

Mcheki hapa Paul Kagame akipiga "pindi" huko Harvard
Screenshot_2019-02-06-19-30-03.png
 
Mkuu uwe na akiba ya maneno,
Huyo hana tofauti na Mzazi wako ni vyema ukajiuliza, Je wazazi wako wamesoma?

Hizi kelele nyingi ni kama za chura hazimnyimi tembo kunywa maji

Maendeleo huanzia kwenye Familia halafu Taifa, Wewe umetafsiriwa alichoongea lisu kwa Kiswahili una uhakika aliyotamka kwa Kiingereza yana maana hiyo
 
Jazba za nini tena ?
 
YA Wazazi yametoka wapi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uwe na akiba ya maneno,
Huyo hana tofauti na Mzazi wako ni vyema ukajiuliza, Je wazazi wako wamesoma?

Hizi kelele nyingi ni kama za chura hazimnyimi tembo kunywa maji

Maendeleo huanzia kwenye Familia halafu Taifa, Wewe umetafsiriwa alichoongea lisu kwa Kiswahili una uhakika aliyotamka kwa Kiingereza yana maana hiyo
Mkuu punguza jazba JPM ni mtumishi wa mleta mada
 
Tanzania na Africa tuna matatizo makubwa, tena tumekuwa affected sana na western culture, ni lini ulimuona Rais wa South Korea , China au Japan /Russia, Brazil anahangaika na media ya kimataifa bila sababu ya maana? kuongea kwenye media hakukufanyi uwe makini katika kuongoza nchi au kudeliver, delivery ya Rais ni dhamira tu wala sio kujua English wala Kiswahili, kuna Rais wa Korea hakujua hata lugha yeyote sijui hata kama aliijua Europe lakini aliwaletea mapinduzu makubwa kiuchumi South Korea just within 7yrs, Dengxiaoping just within 14 yrs china ikaondokana na umasikini, leo hii Tanzania ,Kenya ,Rwanda, Nigeria umasikini unashamiri Zaidi ya mika 50 ya uhuru na kila siku Marais wetu wako kwenye western Media kuongelea uchumi ,maendeleo ambayo wameshindwa kuyaleta.

Tundu lissu Debate zake zote bado anaamini kuwa bila western misaada hatuwezi kutoboa, ndio maana anasema wanyimeni msaada kwa sababu hii ilis serikali inyooke, maana yake ni kuwa hatuna akili siku zote walau za kuwaza ni jinsi gani tutatoka hapa weneyewe bila misaada, mnategemea hata akiwa Rais kuna jipya? Hii tabia na mawazo yetu yandumaza sana maendeleo Africa, muda mwingine unajiuliza hivi sisi Waafrica ni ujnga gani umerundikana akilini kwetu?

Mataifa yote duniani yana fanya aina tatu kama sio nne kukuza uchumi na kujitegemea, kilimo, biashara/viwanda, Technologia na kutoa huduma bora kwa wananchi wao, hakuna ndumba Zaidi ya haya mambo niliyoyataja, hata ukilala unahojiwa Aljeezeera/BBC/MSNBC/CNN/TVO5 usipoyafanya haya kwa matendo na dhamira kw akujitoa kwa ajiri ya wanachi wako basi maendeleo unayasikia tu, ni serikali kuamua kwa makusudi kuallocate fedha kusupport hivyo vitu kwa vitendo na kuachana na kusubiri Ugermany waje watuchangia.
 
Mkuu uwe na akiba ya maneno,
Huyo hana tofauti na Mzazi wako ni vyema ukajiuliza, Je wazazi wako wamesoma?

Hizi kelele nyingi ni kama za chura hazimnyimi tembo kunywa maji

Maendeleo huanzia kwenye Familia halafu Taifa, Wewe umetafsiriwa alichoongea lisu kwa Kiswahili una uhakika aliyotamka kwa Kiingereza yana maana hiyo
Cheki mnavopanick - wewe umejua namzungumzia nani? Wacha ujinga
 
Sasa what are you talking arsehole - hizo biashara, kilimo na teknolojia viko wapi? Si ndo kwanza mnawateka wafanyabiashara na kukomba pesa zao benki? Si ndo kwanza mnawanyang'anya wawekezaji mashamba yao? Acha ujinga
 
Afrika ina viongozi wengi wakora lkn wengine wanasaidiwa na kuijua kwao dunia - mtu kama Paul Kagame ni kiongozi jeuri kweli(waweza kumwita katili) - lkn ni "GLOBAL CITIZEN". He is always in the forefront of big international events, wakati mwingi akifanya interviews zenye maswali magumu kwelikweli kutoka kwa akina BBC, CNN na Al Jazeera - lkn hakasiriki wala hajifichi. Na wakati mwingine akishiriki mijadala au kutoa mihadhara vyuo vikuu vya Marekani kama Havard - na huyu ni mtu ambaye tunaambiwa eti "hakwenda shule"...

Sasa linganisha na wale viongozi Lissu anawaita "Sons of the Soil" na ma- PhD yao - mtu hata interview Channel 10 au TBC hawezi kufanya, mtu hawezi kujibu hata swali la Cyprian Musiba au Pascal Mayalla - sasa huyu watu wakitumia udhaifu wake huo kumpiga kimataifa analalamika nini?

Kweli Tanzania tuliingia chaka kweli kweli 2015 - Kristo aturehemu!

Mcheki hapa Paul Kagame akipiga "pindi" huko Harvard
View attachment 1015173
dah Kristo turehemuu tu. Jamaa hakuna chochote anachofanya magogoni yani kadhihirisha wazi kabisa kama urais tu tanzania hata binti wa chekechea anaweza.

Haki ya nani mchizi mox ama Joti na mpoki wakipewa urais mambo yataenda tu tena vizuri.

Intaprenyuaaaa
 
Chadema wakimpenda mtu wapo radhi kumpa chochote
Alianza Slaa,tuliambiwa ni Rais wa mioyoni mwao
Akaja Lowassa,tukaambiwa ni Rais wa malofa
Sasa hivi ni Tundu Lissu
 
Sasa what are you talking arsehole - hizo biashara, kilimo na teknolojia viko wapi? Si ndo kwanza mnawateka wafanyabiashara na kukomba pesa zao benki? Si ndo kwanza mnawanyang'anya wawekezaji mashamba yao? Acha ujinga

Nina maananisha mapinduzi ya uchumi kwa serikali kuwekeza nguvu ya kutosha katika kilimo, viwanda ili kujipatia fedha na kujiendesha wenyewe , tuangalie zaidi kukuza GDP yetu na kutoa huduma kwa wananchi, hii ndo natakiwa iwe foucus yetu,lakini upuuzi huu wakutaka kushinda media kusikiliza upuuzi wa Rais nani kasema nini bbc au CNN haitatupeleka kokote, na kibaya zaidi kama taifa tumejiingiza kwenye kuongea sana vitendo zero.
 
Mkuu uwe na akiba ya maneno,
Huyo hana tofauti na Mzazi wako ni vyema ukajiuliza, Je wazazi wako wamesoma?

Hizi kelele nyingi ni kama za chura hazimnyimi tembo kunywa maji

Maendeleo huanzia kwenye Familia halafu Taifa, Wewe umetafsiriwa alichoongea lisu kwa Kiswahili una uhakika aliyotamka kwa Kiingereza yana maana hiyo

Labda kweli kelele za chura hazitazuia tembo wenye kiu kunywa maji bwawani/mtoni....

Lakini ukumbuke sisimizi tu ambaye ni miongoni mwa viumbe vidogo kabisa duniani, aweza kumlaza chini (kumuua) tembo huyo huyo milele...!!

Unalijua hilo??
 
Tanzania na Africa tuna matatizo makubwa, tena tumekuwa affected sana na western culture, ni lini ulimuona Rais wa South Korea , China au Japan /Russia, Brazil anahangaika na media ya kimataifa bila sababu ya maana? kuongea kwenye media hakukufanyi uwe makini katika kuongoza nchi au kudeliver, delivery ya Rais ni dhamira tu wala sio kujua English wala Kiswahili, kuna Rais wa Korea hakujua hata lugha yeyote sijui hata kama aliijua Europe lakini aliwaletea mapinduzu makubwa kiuchumi South Korea just within 7yrs, Dengxiaoping just within 14 yrs china ikaondokana na umasikini, leo hii Tanzania ,Kenya ,Rwanda, Nigeria umasikini unashamiri Zaidi ya mika 50 ya uhuru na kila siku Marais wetu wako kwenye western Media kuongelea uchumi ,maendeleo ambayo wameshindwa kuyaleta.

Tundu lissu Debate zake zote bado anaamini kuwa bila western misaada hatuwezi kutoboa, ndio maana anasema wanyimeni msaada kwa sababu hii ilis serikali inyooke, maana yake ni kuwa hatuna akili siku zote walau za kuwaza ni jinsi gani tutatoka hapa weneyewe bila misaada, mnategemea hata akiwa Rais kuna jipya? Hii tabia na mawazo yetu yandumaza sana maendeleo Africa, muda mwingine unajiuliza hivi sisi Waafrica ni ujnga gani umerundikana akilini kwetu?

Mataifa yote duniani yana fanya aina tatu kama sio nne kukuza uchumi na kujitegemea, kilimo, biashara/viwanda, Technologia na kutoa huduma bora kwa wananchi wao, hakuna ndumba Zaidi ya haya mambo niliyoyataja, hata ukilala unahojiwa Aljeezeera/BBC/MSNBC/CNN/TVO5 usipoyafanya haya kwa matendo na dhamira kw akujitoa kwa ajiri ya wanachi wako basi maendeleo unayasikia tu, ni serikali kuamua kwa makusudi kuallocate fedha kusupport hivyo vitu kwa vitendo na kuachana na kusubiri Ugermany waje watuchangia.
Kwa vile mtoto wa kitajiri hatoki na mfupa wa kuku nje haina maana hali kuku!

Sisi tunahitaji kujitangaza ili tuvutie investors, na njia moja iliyo effective ni kwa watu wa nje kusikia straight from viongozi wetu ili waweze ku determine wao wenyewe msimamo wetu kutokana na walichokisikia kutoka midomoni mwa viongozi wetu.

Wewe kwa akli yako unafikiri watu huko wanaijuwa Tanzania kama tunavojuwa sisi nchi zao? Hawana muda huo, inabidi tuwafate tu tukitaka tusitake!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom