Global African City Azania or Mzizima?

Democracy999

JF-Expert Member
May 26, 2012
945
189
Ndugu Wazalendo, Tanzania inaelekea kwenye kundi la Vitovu vya kukamand Dunia, tusijidharau kwanzia kina Mandela, John Garang, Yasser Arafat, Yoweri Museveni na wengine wengi walibebwa na Tanzania hadi Ikulu, mpaka leo viongozi wakubwa wa Dunia lazima waje kuhiji Bongo. Ikiwa ndio kwanza uchumi wetu unajiandaa kupaa, jee? Jina la Mji wetu Mkuu tubaki na Dar au Bongo? Au si bora yale majina yake ya Kale kama Azania au Mzizima!
 
Back
Top Bottom