Giza uwanja wa Taifa, mechi ya Simba na Young African | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Giza uwanja wa Taifa, mechi ya Simba na Young African

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jack Beur, Jul 11, 2011.

 1. J

  Jack Beur JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Pamoja na aibu kubwa mbele ya macho ya mataifa mengine duniani yaliyokuwa yanaangalia mashindano hayo imedhihirisha pia serikali isivyo makini, huwezi ukawakweka maelfu ya watu wote wale wa timu pinzani ( Mahasimu )gizani kwa muda mrefu hii ni kuhatarisha maisha yao kwani wanaweza kudhuriana na kupotelea gizani, halafu inakuwaje kunakuwa hakuna jenerator ya ziada (stand by generator) kwenye uwanja mkubwa kama ule unaoingiza mapato kibao?
   
 2. U

  Userne JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanesco kumbee, ni wapenzi wa simba! hadi mnatuzimia umeme? laa! kuweni wazalendo angalau!
   
Loading...