Giza Totoro ni Maandalizi ya Mkataba Mwingine Tata wa umeme? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Giza Totoro ni Maandalizi ya Mkataba Mwingine Tata wa umeme?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by spencer, Aug 19, 2011.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,
  Maneno yangu mi machache lakini naomba myazingatie,

  Giza la makusudi linalosukwa na mafisadi ni mbinu ya kuingia Mkataba mwingine wa mabilioni.

  Ni mbinu inayojenga mazingira na sie watunzania tusihoji uhalali wa hiyo kampuni ambyo sitaitaja kwa leo.

  Mbinu hii hii ilitumika kipindi cha kuingizwa mkenge na Richmond-MMESAHAU???

  Kuweni makini, muitathmin Si Si Em inayoweweseka, kumbukeni pia kuwa E Lowasssssa alitaka kutuingiza kwenye mvua za kutengeza yote hayo ni ufisadi mtupu,

  Kwani mmesahau kuwa pia yeye ndiye aliyelangua mabomba ya maji toka Mwanza hadi Kahama yaliyokuwa yanasafirishwa tokea Buguruni.

  Kuweni makini, waangalieni kwa makini muda si mrefu mtapewa mkakati wa kifedhuri
   
 2. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Wanasema eti wale EWURA walisahau kama BP ndo wenye mkataba wakuleta heavy oil wakawafungia, sasa majenereta yale yakifisadi yanayotumia mafuta haya mazito hayana mafuta ndo sababu ya mgawo eti!
   
Loading...