Give the devil his due: Pres J. Kikwete is a down to earth person

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,783
Some Hate him and Some Like him,

But one thing even his haters do agree: On personal level President Kikwete is a gentleman per-excellence.
He's endowed with virtues most people, essentially his peers fall short of -- "The emotional stamina" and "Class".

I took my time watching these mini-talk shows and noticed some few things which are topics for conversation, but maybe for another day. And at the end of the tether, let me just say the old-man is down to earth, and has a good aura.

Seriously hakuna hata comment moja duh!, btw obviously he has high EQ unlike uncle
 
Kuna kitu nimefikiria hapa...

Huyu JK kiongozi toka anasoma sekondari kibaha, alijiunga Tanu youth league na kuwa kiongozi toka akiwa sekondary...anakutana na akina Mzee liundi...
Akiwa UDSM alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi..

Babu yake alikuwa chief kabla Nyerere hajafuta vyeo vya machief...

Nafikiri kwake uongozi ni karama na urithi, tumpe haki yake...huyu ni kiongozi kwa kuzaliwa..

Kuna msela hakuwahi kuwa hata Monitor wa Darasa...achilia mbali hata kiongozi kwenye mchezo wowote au kiongozi wa kuimba kwaya.
 
Well i guess so, he was nice smh but not to his peers
one of his friends complained that "Uncle" promised to help him with the children's fees but canceled after a political disagreement with him😁
Uncle was kind but dynamic and very complex
 
sasa mtu kakaa na kukulia Migomigo, amecheza busket railway Gerezeni.. amesoma kibaha, tanga technical school na UDSM...

Amecheza basketball na anajua kila kitu cha duniani mpaka akina Kobe, Karim Abduljabal.. nk
Anawajua msondo, sikinde, akina chris brown nk

With all that exposure bado akaweza kuwa Rais wa serikali UDSM, na kiongozi mashuleni na huko Tanu youth league...

Anaonyesha kuwa na talent na kaugenius maeneo fulani...
 
Kuna kitu nimefikiria hapa...

Huyu JK kiongozi toka anasoma sekondari kibaha, alijiunga Tanu youth league na kuwa kiongozi toka akiwa sekondary...anakutana na akina Mzee liundi...
Akiwa UDSM alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi..

Babu yake alikuwa chief kabla Nyerere hajafuta vyeo vya machief...

Nafikiri kwake uongozi ni karama na urithi, tumpe haki yake...huyu ni kiongozi kwa kuzaliwa..

Kuna msela hakuwahi kuwa hata Monitor wa Darasa...achilia mbali hata kiongozi kwenye mchezo wowote au kiongozi wa kuimba kwaya.

Jamaa was more of a manager than a leader lakin sometimes ni kitu kizuri watu ilibidi wapelekwe hivyo, wa Tz wengi ni lazy
 
one of his friends complained that "Uncle" promised to help him with the children's fees but canceled after a political disagreement with him
Uncle was kind but dynamic and very complex

He wasn’t easy one to live with i bet, I could be wrong though
 
He wasn’t easy one to live with i bet, I could be wrong though
you are damn Right,but as they say in Swahili "kila shetani na mbuyu wake" he vibed with some few people especially Bashite,they never had any misunderstanding
so he was hard to most and Nice to few,imagine the guy never had an inner circle😁
 
you are damn Right,but as they say in Swahili "kila shetani na mbuyu wake" he vibed with some few people especially Bashite,they never had any misunderstanding
so he was hard to most and Nice to few,imagine the guy never had an inner circle

He was great in his own twisted way
 
Back
Top Bottom