Give Away Price for Unboxed Mini Laptop(Samsung NP-NC215 With built-in Solar Charger)

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
483
Hallo, Kwa yoyote Mwenye Kuhitaji Mini Laptop zenye kukaa na chaji kwa Masaa zaidi ya 10. Pia ni frendly kwa wale walio na shida ya Umeme kukatika Mara kwa Mara kwani waweza kuichaji kwa Umeme wa Jua.

Ni Mini Laptop product ya Samsung(NP-NC215).

Waweza chungulia hapa kwenye hii Link.
NP-NC215-A01US 10.1" Netbook | Samsung NP-NC215S

BEI ni kilo 4 point 99 tu.
Ni PM unipe na Namba then Ntakuendea Hewani.

Display 10.1"
RAM 1GB(Ukitaka ya 2GB Utaniongeza kama 46 elfu tu.
HDD Capacity 250GB.
32 Bit.
Windows 7 Starter.
Very Convenient kwa wale wanaofanya kazi zao nje ya Ofisi.
Kwa Chaji Utaipenda.
 
Back
Top Bottom