Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
Nasikiliza kipindi cha Rush Limbaugh hapa, kama ilivyo ada.
Mara Rush amekatisha kipindi na kujiunga na press conference ya Rudy Giuliani kutoa updates za kesi za madai ya Trump kuhusu voter fraud.
Giuliani kaitolea mfano Tanzania, kwamba, ‘even in Tanzania’, waangalizi huwa hawatolewi nje ya vyumba vya kuhesabia kura.
Baada ya Giuliani kusema hivyo, Rush naye akachomekea kuwa hakujua kama kuna voter fraud in Tanzania 🤣.
Nitakitafuta kipande cha hiyo presser nikiweke hapa.
Noma sana.