Giuliani kaitolea mfano Tanzania kwamba, waangalizi huwa hawatolewi nje ya vyumba vya kuhesabia kura

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,597
2,000
Nasikiliza kipindi cha Rush Limbaugh hapa, kama ilivyo ada.

Mara Rush amekatisha kipindi na kujiunga na press conference ya Rudy Giuliani kutoa updates za kesi za madai ya Trump kuhusu voter fraud.

Giuliani kaitolea mfano Tanzania, kwamba, ‘even in Tanzania’, waangalizi huwa hawatolewi nje ya vyumba vya kuhesabia kura.

Baada ya Giuliani kusema hivyo, Rush naye akachomekea kuwa hakujua kama kuna voter fraud in Tanzania 🤣.

Nitakitafuta kipande cha hiyo presser nikiweke hapa.

Noma sana.

 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
54,703
2,000
Ni risk sana Mtanzania asiyeijua vizuri Marekani kusema "even in America" na Mmarekani asiyeijua vizuri Tanzania kusema "even in Tanzania".

Giuliani anajua nini kuhusu figisu ambazo mawakala wameletewa Tanzania?

Halafu tukishaanza kutolewa mfano kama "even in Tanzania" maana yake nini?

Maana yake sisi ndio watu ambao hatutegemewi kabisa kukosa voter fraud?
 

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,463
2,000
EU na USA wanatakiwa wawafungie "VISA" viherehere wa kampeni wasifike ulaya wala marekani. Akiwemo "DIAMOND & CREW YAKE YA WASAFI".

Wanaoshabikia CCM ilichofanya kwenye uchaguzi 2020 na inachofanya wanatakiwa kufunguliwa kesi za "UHAINI", wote wanatakiwa kupewa hukumu ya kunyongwa au kupigwa risasi pale "ASKARI MONUMENT" posta (Mchana kweupe).

Wanaliteketeza na kuliangamiza taifa hili.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,597
2,000
Ni risk sana Mtanzania asiyeijua vizuri Marekani kusema "even in America" na Mmarekani asiyeijua vizuri Tanzania kusema "even in Tanzania".

Giuliani anajua nini kuhusu figisu ambazo mawakala wameletewa Tanzania?....
Maybe we’re so bad to levels which seemingly can’t be reached by others, but when it appears that they’ve been reached, it becomes a point of amazement...that can be cited as an example.
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
27,874
2,000
Hii ni live, Trump team path to victory briefing, ...

Vile wewe pamoja na Magufuli mnasali ili Trump ashinde urais kule marekani kisa Trump huwa hana time na madikteta uchwara.
otter-praying-by-pinterest.jpg
 

Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,634
2,000
Wanaoshabikia CCM ilichofanya kwenye uchaguzi 2020 na inachofanya wanatakiwa kufunguliwa kesi za "UHAINI", wote wanatakiwa kupewa hukumu ya kunyogwa.

Wanaliteketeza taifa hili.
Duuuh! We jamaa kama ungekuwa inaonekana kama ungekuwa na madaraka ungekuwa katiri sana ina maana watu wasifurahie na kutetea wanachokiona ni sahihi?
 

Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
940
1,000
Ni muhimu Wizara ya mambo ya nje ikiwapa mabalozi wetu maelekezo maalumu kuhusu jinsi ya kupambana na vita hii ya kidiplomasia. Wawezi kutolea ufafanuzi na kuweka sawa kila upotoshaji unapofanywa.

Wawe na majukumu ya kuwa malobbist kwenye majukwaa mbalimbali huko Ulaya na USA waweze kufikisha ujumbe kwa raia wa nchi hizo kuonesha uhuni wa serikali zao kwa nchi nyingine. Wa aweza kuwatumia hata wakina Masanja Mkandamizaji wa USA na Ulaya aka Travor Noah.

Vilevile wanaweza kutafuta wapinzani wa sera za Amsedani na genge lake na wakatafuta namna nzuri ya ushirikiano nao kuona jinsi ya kupambana na hili genge la amsedani na Lissu huko ulaya.
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,214
2,000
Ni muhimu Wizara ya mambo ya nje ikiwapa mabalozi wetu maelekezo maalumu kuhusu jinsi ya kupambana na vita hii ya kidiplomasia. Wawezi kutolea ufafanuzi na kuweka sawa kila upotoshaji unapofanywa...
Bunge la EU ndo limeamua ,hao mabalozi wapo kwenye hizo hizo nchi ,facts huwa hazijifichi sasa upotoshaji unafanywa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom