Gitaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gitaa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by donlucchese, Apr 3, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,340
  Likes Received: 3,473
  Trophy Points: 280
  Jamani samahanini wakuu kidogo kwa kuleta thread ambayo haipo related na ths forum but nimegundua kwamba this is the most visited forum. Mie naomba msaada kwa mtu ambaye ana utaalamu wa kupiga ala ya mziki aina ya gitaa aweze kunifundisha. Dzain kama kuna mtoto wakispaƱola nataka kumuimpress sasa nshamtia saund mie mariachi a.k.a guitarist. Just kidding,but seriusly nataka kujifunza gitaa
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ntakufundsha kupiga marimba...utaenda kumsuprise kwa marimba usikonde mjombaaaa!!!

  nenda makanisan ukoo utafundshwa au pale amana vjana...nenda kwenye mabend uko twanga,ngwasuma wanaweza kukudirect kwa mwalinu

  nawasilisha
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wanafundisha watu
  tafuta advertisingdar....ni kijarida kinapikana free shoprite kila friday
   
 4. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,340
  Likes Received: 3,473
  Trophy Points: 280
  hahaha,sasa marimba si anaeza hisi mie ni mtoto wa dr.hukwe zahose?
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nenda kanisani kaka!
   
Loading...