Girls girls girls mhhh i have your attention now ( no men please :d) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Girls girls girls mhhh i have your attention now ( no men please :d)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by vikmatz, Jul 5, 2012.

 1. v

  vikmatz Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What are the things a girl looks for in a man?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  bahati mbaya am a wife and a mother.....ningekuwa gelo ningejibu.....
   
 3. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Pesa yako, gari na nyumba
   
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  dogooo..yani mpaka leo hujui what a girl needs from a man??
  1- mshobobo/mtalimbo usiolala dolo na shughuli uiweze
  2- pesa na magari..maana hawa wenzetu hataki hatakuisiki kitu iitwayo shida
  3- kidoogo utanashati uwepo
  4- usiwe chapachapa..yani wanataka wakiwa na wewe uwe wake peke yake lakini pia wanaishi kwa hisia kuwa lazma wanaume tunachapa kizuri wasijue wanashare na nani
  5- uwe mtu wa story sana na nyingi ziwe za uongo basi wao mioyo kwatuuu..maana imeandikwa hawa wenzetu wanaupenda na kuukubali uongo kuliko ukweli.

  HAYA NDIO MAMBO BASIC AMBAYO MTOTO WA KIKE HANA JINSI YA KUKUENGU KATIKA VIGEZO VYA KUWA NAYE..HAWANA UJANJA WA KURUKA MTEGO WENYE VIGEZO HIVO HAPO JUU NA NIMEVIWEKA KWA MPANGILIO MAHUSUSI.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapo kwa rangi si kweli uko kwingine umepatia kidogo...
   
 6. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,230
  Likes Received: 816
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo mwenyekiti ukipata mwenye sifa hizo utaacha kubania k yako??
   
 7. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ila kwa wengine si kweli? yawezekana kwako si kweli ila kwa wengine ndio namba 1 priority
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  provided factors zingine zipo constant mkuu
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  tatizo wanaume waliofulia wanaishi kwa kujihisi sana...mapenzi ya kweli huna ukiachwa unasingizia kisa wewe maskini..tulieni muone kama na sisi hatujatulia
   
 10. i

  issabela Senior Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  am a girl and i want nothing bt true lov and faithfull from a man
   
 11. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Only true love and faithfull from a man, girls like it.
   
 12. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Smile mbona unakwepa hoja? mii nimekueleza kama wewe mkwanja sio namba one priority wengine ndio.mbona hata kuna dada zetu huwa katika stori wanatueleza kuwa mwanaume asiye na mkwanja na usafiri NO! tena huwa wengine wana generalize wanaita mwanaume suruali!
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  umenitoa machozi
   
 14. p

  pointers JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  even satisfication on bed????
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hiyo inakua si kweli hasa kwa wanawake ambao wana kazi zao na pesa zao, unakuta yeye hana shida ya hela anataka love peace and happiness...sema kuna walee masharobibi ambao yeye kuanzia hela za kununua rangi za kucha mpaka nyumba anataka apewe na mwanaume
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sidhani kama kuna mtu atapewa mapenzi ya kweli kabisa aache kutulia....tulieni wanaume....tatizo hamtulii maquestion mark meengi mnatuwekea kichwani...mnategemea tutakaa..pesa si kitu kaka ..antention!
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  teh iyo love mnayo?
   
 18. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hii mambo ya true love mie hua naona ni fictions mpaka leo cjapata real meaning.
   
 19. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mie mwenyewe nimeinamisha kichwa chini
   
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kuna siku shemeji yangu mmoja aliniambia kua yeye kama mwanamke ashajiwekea kichwani kua akiwa kwenye rship na mwanaume ipo siku huyo mwanaume atakuja kumcheat yani hiyo ni lazima, anajiwekea hivyo ili asije akaumizwa rohoni. nikafikiria hiyo sentensi nikaona kuna ukweli wake, so love inaweza ikawepo na mwanaume anakupenda kweli lakini sijui kwanini at some point atacheat tu i wonder:mmph:
   
Loading...