Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,285
- 83,683
SMH!!!Maandishi yako yanakushangaa mkuu.
Mtu wa kariba unayoielezea hahitaji kutumia muda wake mwingi au maelezo marefu kama ulivyofanya ku validate aina ya maisha anayoyaishi if at all ni kweli anaishi aina hiyo ya maisha.
Pia maandishi yako yanaonesha uko na dreams za kuwa na aina hiyo ya maisha. Goodluck girl.