Girlfriend nilietemana ne tukiwa mwaka wa Kwanza chuo 2015 tupo wilaya 1 mtaa 1 ameolewa, nimeoa

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Wakuu imekaaje hii.. Au Nani amewai tokewa na haya mambo.. Tulishindwana tukiwa first year vyuo tofauti.. Sasa sa chache zilizopita nikaitrace namba yake Maana nilizifutaga.. Ikabidi nimcheki hewani.. E bwana eee huezi amini tupo mtaa m1.. Alfu dogo alikua ananikubali saana..

Chanzo cha kuachana ni different lifestyle tu.. Wala si kingine.. Natamani nihamie mtaa wa 9 huko ujue lolote laweza tokea mapenzi hayana Maana haya.. Naombeni maoni yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaharibu ndoa yako bure kisa upumbavu, yaani mtu uachane naye mwaka wa kwanza halafu uje kumtafute leo ukiwa umeoa, hivi kweli wewe ni mzima ?? Halafu mwanamke tukishaachana naye huwa hatumrudii kabisa, ni kosa kubwa mno la kiufundi. Hapa unayumba mzee, stick to your wife....
 
Wakuu imekaaje hii.. Au Nani amewai tokewa na haya mambo.. Tulishindwana tukiwa first year vyuo tofauti.. Sasa sa chache zilizopita nikaitrace namba yake Maana nilizifutaga.. Ikabidi nimcheki hewani.. E bwana eee huezi amini tupo mtaa m1.. Alfu dogo alikua ananikubali saana..

Chanzo cha kuachana ni different lifestyle tu.. Wala si kingine.. Natamani nihamie mtaa wa 9 huko ujue lolote laweza tokea mapenzi hayana Maana haya.. Naombeni maoni yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko wapi hapo,mnakaa mtaa mmoja au nyumba moja.
 
Acha kabisa.
Hata kama ulikuwa unakubalika, isiwe sababu ya kuvuruga mahusiano ya watu.

Ibirisi anakujaza kichwa ili urudiane naye huyo ke .
Yatakukuta usiyoyategemea muda si mrefu; bora angekuwa hajaolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom