girlfriend na boyfriend

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Karibu kila mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, akiwa wa kike unakuta ana boyfriend wake na wale wa kiume nao wanao magirlfriend wao, wachache hawana kabisa,labda niwaulize kwanza wanafunzi wenyewe je ? faida gani mnapata toka kwenye huo uhusiano?Inawasaidia kwenye masomo kimaendeleo? Halafu niwaulize wazazi wenu,je mzazi unaruhusu mtoto wako awe na boyfiend au girlfriend shuleni? Kwanini?
 
Wanafunzi na mapenzi ni pilau na mlenda
Wanafunzi na mapenzi ni kilimo na uvivu
Pesa nguo na simu adui wa wanafunzi

Wazazi upande wao lawama sana wamejisahau
 
tall, sasa humu wanafunzi watakuwepo kweli? hasa wale unaowaongelea wa sekondari?
 
Karibu kila mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, akiwa wa kike unakuta ana boyfriend wake na wale wa kiume nao wanao magirlfriend wao, wachache hawana kabisa,labda niwaulize kwanza wanafunzi wenyewe je ? faida gani mnapata toka kwenye huo uhusiano?Inawasaidia kwenye masomo kimaendeleo? Halafu niwaulize wazazi wenu,je mzazi unaruhusu mtoto wako awe na boyfiend au girlfriend shuleni? Kwanini?

may be it help them to release tension... u know sexually tension.. haromonies can play tricks sometimes

I am not promoting this though dont get me wrong... kama mimi nimzazi I would advice my children to wait for the right time...
 
mahusiano haya yanakufanya mtu hujione umekamilika na yanakupa confidence zaidi na maisha yako ya kila siku.

sasa kwenye perfomance inategemea na mtu binafsi ukiachia mapenzi yakutawale basi unaweza kujikuta masomo hayapandi kwani kutwa akili yako itakuwa kwenye mapenzi.kama utaweza kuji-control sidhani kama yata ku-affect kwenye masomo yako sana.

duania sasa hivi watoto wanakuwa hnaraka sana na ni vigumu kwao kukosa mwenzake kwani wanafunzi wenzake watakuwa wanamshambulia na inaweza kum-affect zaidi kwenye kuliko hayo mapenzi anayojaribu kukaana nayo mbali hili haweze ku-focus kwenye masomo.
 
tall, sasa humu wanafunzi watakuwepo kweli? hasa wale unaowaongelea wa sekondari?

hapo sasa....

lakini kwa upande wa mzazi au mlezi, dah napata ugumu sana (labda na malezi niliyolelewa yamechangia), kwa kweli siwezi kuruhusu hilo, tena mtoto yuko O'level aniambie au nigundue ati so n so ni boyfriend wa mwanao...........agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
 
lakini hivi vibinti usipokuwa makini vinaliwa bana.
Issue ni kuviweka bize tu vikiwa home, ratiba kama ya seminari....kusoma, kufanya kazi za nyumbani, kucheza.....lazima awe na mchezo physical...mambo ya kusema nasoma novel ndo hobby, sitaki, novel atasoma na michezo/mazoezi physical atafanya.
 
hahaaaa wangu umenifurahisha sana, mi jana I came out with the "house rules"

am just not comfortable bana so kabla sijaua bora niwape tahadhari kabisa.....nimepanga ratiba TITE bt mind you watoto wa dotcom ni wajanja ile mbaya...
 
..Mkuu una katoto ka kike?? Unajua unless kama kanasoma boarding school then unaweza kufanya hayo unayosema. Lakini kama yuko day school jioni anarudi nyumbani utakuta mazoezi na kila kitu kamemalizia huko huko kakifika home sura kavu kama dagaa!!!
 
Ni heri mambo yawe tite ili atumie ujanja mwingine kufanya upuuzi wake hali akijua home ujinga ujinga hauna nafasi. Kwanza ukitoa ratiba tite hata muda wa kufanya ujanja unapungua sana. Watoto wana muda mwingi wako idle ndio maana wanakua bize na mapenzi(bf/gf) wakiwa wadogo mno.
 
..Mkuu una katoto ka kike?? Unajua unless kama kanasoma boarding school then unaweza kufanya hayo unayosema. Lakini kama yuko day school jioni anarudi nyumbani utakuta mazoezi na kila kitu kamemalizia huko huko kakifika home sura kavu kama dagaa!!!

mie jamani hapo ndo nachoka mwili na roho..........
 
.......Watoto haswa hawa teenagers wala mzazi usijidanganye kwamba unamchunga au unampa ratiba ili awe busy........wapo very smart kiasi kwamba mzazi wala hutajua kama ana GF au BF.
Mimi nikija kuwa na mtoto awe wa kike au wa kiume, nikishaona amepevuka ni kiasi cha kuwa karibu naye na kumfanya ni rafiki yangu na kumueleza jinsi mambo ya mahusiano yanavyotakiwa kuwa.
Mzazi inabidi uongee na mtoto wako usimuonee haya kumpa sex education, maana kama hujamweleza ukweli wewe mzazi utakuja kuumbuka bure kwa kutomwambia ukweli mwanao kuhusu mahusiano.
 
Maybe am old-fashioned lkn this is a no-no. Mixing education and relationship at Secondary and High School is a receipe for failure. Wengine we are employed na relationship challenges kibao, now I can imagine students who do not even know what they want to become.

You will end up serving one master, and believe me it will not be your education. Wazazi na walezi habari ndo hiyo.
 
Wao nao wamepevuka kiakili na kimwili pia..si unajua tena mabo ya baiolojia?ila sidhani kama kuna faida yeyote wanayopata..ni ujinga tu.
 
Mi hapa kwa jinsi topic ilivyo, sijui nichangieje naombeni mawazo!
 
Ha ha ha!soma posts za watu then utapata cha kuchangia..nimeupenda ujumbe wa kwenye signature yako.Sasa utachanaje nywele wakati una kipara?

GS, hakuna kisichowezekana....at least kwa maneno rahisi kabisa
ndo naendelea kutafakari hapa..
 
Yapo bwana yasiyowezekana.Acha hadithi Mkuu.Mbona tumeshindwa kuwawajibisha mafisadi wa Kagoda,Richmond na wengineo?
 
:confused:
hapo sasa....

lakini kwa upande wa mzazi au mlezi, dah napata ugumu sana (labda na malezi niliyolelewa yamechangia), kwa kweli siwezi kuruhusu hilo, tena mtoto yuko O'level aniambie au nigundue ati so n so ni boyfriend wa mwanao...........agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
wewe siku zote unadhani huwa humu ndani JF unasema/kuwasiliana na wakubwa wenzio tu? sasa subiri warudi shule wapitie pale internet cafe halafu uone majibu yao humu.Ninapoishi mimi internet cafe karibu zote utawakuta haohao
 
Back
Top Bottom