Girlfriend na Boyfriend

Exaud
Boyfriend ni zaidi ya rafiki wa kawaida kwangu mimi. Ina maana tunakuwa mpaka wapenzi na kufanya vitu vingi pamoja kushinda nitakavyofanya na wanaume wengine. Boyfriend huyo huyo anaweza akawa mchumba hatimaye mume kama tutashibana vya kutosha na kuona tunafaa kuwa wote.Au tukaachana na akawa x'boyfriend wangu yani mpenzi wa zamani.
Kazi ya boyfriend kwangu ni ku-share love ambapo ndani yake kuna vitu vingi ambavyo rafiki zangu wa kawaida wanaume hawataweza kufikia hatua hiyo.

Sijui kama nimeliweka sawa??!
 
Back
Top Bottom