Gigy Money: Nivae nguo ya ndani ya nini?

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761
"Nivae chupi ya nini? tena ningewashauri wadada wasivae chupi kubana matumizi" Hayo yamesemwa na mwanadada machachari maarufu kwa jina la Gigy Money.

Baada ya video queen, Gigy Money kusemwa katika mitandao ya kijamii kwamba havai chupi, mrembo huyo amesema ni kweli havai chupi na ni maisha anayopenda kuishi.
Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Gigy Money amesema anajisikia vizuri akivaa nguo bila chupi kwani anajiona yupo huru zaidi.

“Hata hapa nilipo sijavaa chupi na nikweli sipendi kuvaa chupi ila napenda kuvaa chupi yenyewe bila kuvaa nguo juu yake,” alisema Gigy Money.

“Chupi nayo ni nguo na ni vazi la ndani, nivae chupi nisivae hayo hayawahusu, hapa nilipo sijavaa chupi kwanza chupi inaharibu shepu, kama hii nguo niliyovaa leo nikivaa na chupi si naharibu nguo yangu, vitu ninatakiwa kuonekana. Tena ningewashauri wadada wenzangu wabane matumizi kwa sababu chupi zinapanda bei kila kukicha,” aliongeza.

Katika hatua nyingine Gigy amesema kwa wasanii wachanga ndio watu ambao wanamtafuta zaidi ili ashiriki kwenye video zao.

gigy-1.png
gigy-2.png
 
sioni kama ana tofauti yeyote kumzidi mke wangu. hasa akisimama namwona kama katoka manzese vile. mshamba tu huyu. ajabu yake wanaume sijui tumelogwa, mtu anajitangaza kabisa kwenye tv na mitandao kwamba yeye huwa anajiuza na dau lake kuanzia milioni mbili hivi, wanaume rundo wanammega kila anayetaka anammega, hela yako tu, keshamwagiwa shahawa zitajaa gunia na wanaume tofauti wengine anasema hata kikutana nao anaweza asijue kama alishalala nao, na hajafika hata 25 hapo,....lakini utakuta bado tunamtamani na tunamwinda wakati kuna wanawake wazuri wametulia tulii wanatusubiri lakini hatuwaendei. huyu anayegawa kama mama huruma ndio tunamkimbilia. ndio hapo huwa nasema wanaume tuna upungufu wa akili likija suala la mapenzi.
 
Sasa kama avai,inausu nini kwani upo peke yako,au ndyo unataka sifa na huyo aliyemuuliza akuona swali la kumuuliza acheni maswali ya kijinga.
 
Asijisifu kwa liumbo lake kama puto,akumbuke hata kibonge alianza kujisifu anamahipsi.
 
t
Huyu demu zngepatkana njemba tano za nguvu zimpge p..mbu kisawasawa angejielewa.
atizo anakaa daslaam, angekuwa mkoani wanakokula ugali mwekundu na maharagwe asingekuwa hivyo. shida ya wanaume wa dsm kula chips na kukimbia hata mende tu ndio inawafanya wanawake wao wapoteze fahamu na kuhangaika mitaani kihivyo.
 
Anauza papuchi VP lakn serikal anailipa kodi?kupitia biashara yake ya ujasiriamwili
 
Kweli hii ni nchi ya vi-wonder nauliza hao wanaomshobokea huyu kicheche wanajua mademu wazuri kweli? shepu ya Kobe sura mbovu akili ndo Hamna!
 
Huyu demu mbona aamshi kabisa?!

Mashavu kama anapuliza moto.

basi utakuta wanaume wa mikoani wanampapatikia na kumjaza manoti...Ama kweli wajinga ndio waliwao
 
najisikia vibaya kama mzazi,hivi wazazi wake wakimuona hivyo wanajisikiaje?
 
........vitu vinatakiwa kuonekana.......Hapa ndipo penye tatizo kuu. Yeye pamoja na Watu wote wanaoamini katika kuonyesha maungo yanayopaswa kusitiriwa ni wagonjwa,wanaumwa exhibitionism.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom