Gigy Money: Kudanga Ndio Kunaniweka Mjini

Mideko

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
35,314
190,947
BahyG-wngtP.jpg

MUUZA nyago asiyeishiwa vituko Gigy Money amefunguka kuwa jina lake limekaa kipesapesa ingawa yeye mwenyewe maisha yake kutwa kucha ni kuwatumia wanaume (udangaji) ndiko kunamweka zaidi mjini.

Akipiga stori na Showbiz- Xtra, Gigy amesema, moja ya vitu ambavyo vinavutia watu wengi ni uzuri wa jina lake na ambalo limekaa kipesapesa ingawa yeye maisha yake kwa sasa hayafanani na maana ya jina hilo.

“Jina langu tamu sana, maana yake hata namna linavyo-sound ni jina moja zuri ambalo lipo kipesapesa, ajabu pamoja na uzuri wa jina hilo maisha yangu mimi hayafanani na jina hilo, naishi kwa kudanga na maadili ya hapa na pale,” alisema Gigy Money.
 
View attachment 625434

Kuwatumia wanaume, mmmmmh!
Okei!
 
Auze tu maana hakuna namna nyingine....vyuma vimekaza sana.
 
Back
Top Bottom